Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Well said.
 
Mbona umetaja sehemu 6 tu za mwili zilizokua zinauma hayo magonjwa 94 yaliyobaki ni yapi? Au kila kiungo kimoja kilikua kinaumwa zaidi magongwa 20?
 
Mbona umetaja sehemu 6 tu za mwili zilizokua zinauma hayo magonjwa 94 yaliyobaki ni yapi? Au kila kiungo kimoja kilikua kinaumwa zaidi magongwa 20?
Soma ushuhuda kwa taratibu. Sijasema nimeugua magonjwa 100 kwa wakati mmoja. Nimesema tangu ujana...
 
Hakika ni za kwetu
 
Haukutumia Dawa yoyote mpaka unapona tuanzie hapo kwanza
Hata yesu Alipo mponya yule kipofu alitumia tope kidogo lakini pia sio kila anaetumia dawa hupona wengine hufa

Ndio maana hospitalini kuna mortuary

Hivyo kwa imani yake pamoja na kutumia Dawa Bado anaamini ameponywa na YESU
 
Hakuna. Hayupo.
 

Uliwezaje kuthibisha na kuamini kuwa kila gonjwa ulilopona liliponywa na jina la yesu
 
Naona unamtusi mtu aliyetumia muda na bado lake kumtukuza aliyemponya. Ungeweza kutumia lugha ya staha na bado mkaelewana tu. Kiranga ambaye wewe ni mfuasi wake hanaga lugha isiyokosa staha kama hii. Kwani haauwezi kujadiliana kwa staha?
Tusi liko wapi hapo?
 
Unakashifu sana Imani ya watu. Wewe huamini ktk Mungu lakini usikashifu. Ukikashifu maana yake unahamisha mjadala kuwa ugomvi. Mungu aliyeumba mbingu, ardhi watu na vyote tunavyoviona huwezi kumuita demu.
Huu ni mjadala tu mpinge kwa staha.
Kama hutaki imani yako ikashifiwe usiilete hapa Jamii forums kwenye public forum.

Baki nayo huko moyoni mwako.

Ukileta imani yako hapa kwenye Open forum, Ina maana kwamba umeweka imani yako kwenye public na inaweza kufanywa vyovyote. Kukosolewa, kukashifiwa, kusifiwa, kusimangwa n.k

Kama hutaki imani yako ikosolewe, Kaa nayo huko huko, usiilete hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…