Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

Huo ukristo wenu bakini nao huko makanisani mwenu, Mkileta hizo dini zenu hapa kwenye public forum tutazikosoa.

JF si mahala pa imani.

Ukiweka imani yako hapa, Tutaichambua na kuikosoa.
Chambua tuone uchambuzi wako
 
Hayo ni maneno ya kiimani tu

yani ni moto wa imani kama ubaya ubwela tu .
Imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Ndiyo sababu tunapona magonjwa kwa imani
 
Amen. Ujumbe ameupata
 
Nikionacho ni kwamba ulikuwa ukiumwa viungo
My friend, viungo peke yake vina makumi ya magonjwa: Yafuatayo ni magonjwa 20 yanayoathiri viungo peke yake:
1. Arthritis(Osteoarthritis, Rheumatoid Arthritis, Psoriatic Arthritis
Gout, Septic Arthritis, Juvenile Idiopathic Arthritis
2. Bursitis
3. Tendinitis
4. Lupus
5. Scleroderma
6. Ankylosing Spondylitis
7. Reactive Arthritis
8. Fibromyalgia
9. Lyme Disease
10. Hemochromatosis
11. Chondromalacia Patellae
12. Osteochondritis Dissecans
13. Ehlers-Danlos Syndrome
14. Pseudogout
16. Osteoporosis
17. Neuropathic Arthropathy
18. Sarcoidosis
19. Pott’s disease
20. Bone and joint cancers

Hayo ni baadhi tu ya magonjwa ya viungo. Bado sijakutajia yanayoathiri kifua, tumbo, pua, macho, ulimi, meno, masikio. Kwa taarifa yako kuna magonjwa zaidi ya 55,000 duniani. Waulize WHO watakuthibitishia. Magonjwa 100 ni tone tu la magonjwa.
 
Labda nikuulize kwa maajabu gani ya yesu mpaka umpe vyeo ambavyo hastaili
Soma Biblia utaona maajabu yake. Kwa taarifa yako maneno hayo uliyoandika ameyaona na anakuona hapo ulipo na anajua unawaza nini
 
Kama wewe unajua matusi ni nini tuambie, unaweza kudhani unajua maana ya tusi kumbe hujui, unaishi kwa mazoea tu.
Tafuta dictionary utapata maana halisi kutoka kwa wataalam wa lugha
 
Lengo langu sio kufundisha watu majina ya magonjwa; lengo ni kueleza uwezo wa Yesu wa kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
 
Hayo ni maneno ya kiimani tu

yani ni moto wa imani kama ubaya ubwela tu .
Miaka yetu ya kuishi duniani si mingi, endelea kupuuza Neno la Mungu, siku ukiondoka duniani ndio utajua moto tuliokuambia ni moto halisi, but utakuwa umechelewa kuamini.
 
Kwa afya ipi uliyonayo ya kuhodhi magonja 100+? Acha uzandiki, nenda hospitali zote za rufaa nchini walao uwaponye wagonjwa 125 wenye gonjwa moja moja kisha waje wathibitishe ushuhuda wako hapa!
 
Hakika Mungu anaponya!
 
Nipo hapa kusubiri list ya magonjwa 100
Kama unayo list ya magonjwa yote 55,000+ yaliyopo duniani, basi nimepona magonjwa yaliyopo katika list hiyo. Kitu muhimu cha kujua Yesu anaponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…