Hivyo vitisho pia wadin tofauti na yako wanavyo wewe kama kafiri utachomwa tu , hayo mambo yenu mkiyazungumza humu makanisani ni sahihi huku kwingine mnajichoresha uwezo wenu wa kufikiri.Miaka yetu ya kuishi duniani si mingi, endelea kupuuza Neno la Mungu, siku ukiondoka duniani ndio utajua moto tuliokuambia ni moto halisi, but utakuwa umechelewa kuamini.
Nenda kwenye mikutano ya Injili inayofanywa na Watumishi wa kweli wa Mungu uone jinsi watu wanavyopona. Otherwise soma Biblia uone miujiza aliyotenda YesuKwa afya ipi uliyonayo ya kuhodhi magonja 100+? Acha uzandiki, nenda hospitali zote za rufaa nchini walao uwaponye wagonjwa 125 wenye gonjwa moja moja kisha waje wathibitishe ushuhuda wako hapa!
Watumishi wa kweli wana alama usoni? Kina mwamposa na unabii wa mchongo ama kiboko ya wachawi alivyotumia fursa kuwapiga mapimbi wa kiimani? Fanya kazi upate mlo ili uishi, dini ya kweli ni namna unavyoishi na jamii yako na imani iluyo kuu ni kwamba baada ya maisha haya hakuna mengine na kwamba tutatengana kigeografia kutegemeana na mahali mabaki ya miili yetu itakapozikwa!Nenda kwenye mikutano ya Injili inayofanywa na Watumishi wa kweli wa Mungu uone jinsi watu wanavyopona. Otherwise soma Biblia uone miujiza aliyotenda Yesu
Hata kama uliugua rejareja nawaza tu ina maana afya yako ina bluetooth,whatsapp,instagram,facebook na mitandao yote ya kuvutia magonjwa yote kuweka makazi mwilini mwako? Kwanini walokole mna uongo uongo sana?Inaonekana umesoma ushuhuda wangu kwa kuruka ruka. Soma tena vizuri. Sijasema niliugua magonjwa 100 at once.
Kabla ya kudai kwamba ni uongo uongo ungeleta uthibitisho kwanza wa huo unaodai ni uongo uongo. Mimi ndiye niliyeugua. Kama wewe hujaugua magonjwa mengi mshukuru Mungu.Hata kama uliugua rejareja nawaza tu ina maana afya yako ina bluetooth,whatsapp,instagram,facebook na mitandao yote ya kuvutia magonjwa yote kuweka makazi mwilini mwako? Kwanini walokole mna uongo uongo sana?
Weka ushahidi wa vipimo na maabara ulizopimia...kinyume na hapo uko brainwashed, huna tofauti na wanaojilipua kwa kigezo cha kulinda imani.Kabla ya kudai kwamba ni uongo uongo ungeleta uthibitisho kwanza wa huo unaodai ni uongo uongo. Mimi ndiye niliyeugua. Kama wewe hujaugua magonjwa mengi mshukuru Mungu.
Kipi kiarabu hapo?Humu sio makanisani
Acha kumpa sifa za Mungu kiumbe kama viumbe wengineSoma Biblia utaona maajabu yake. Kwa taarifa yako maneno hayo uliyoandika ameyaona na anakuona hapo ulipo na anajua unawaza nini
SetfreeNani amekiri hajui.
Hutu tubinti twa yesu tunajipigia tu kishkaji na jumapili unakuta kanakata kiuno kwenye hizo kumbi zao za kusifu as if kameshukiwa roho...ukutaka kzmla mpendwa mtapeli kwa jina la aluyeko juu! Utanishukuru siku mojaKipi kiarabu hapo?
Mkuu huwa najibu hoja personality ya mtu wala sina shida nayo .Hutu tubinti twa yesu tunajipigia tu kishkaji na jumapili unakuta kanakata kiuno kwenye hizo kumbi zao za kusifu as if kameshukiwa roho...ukutaka kzmla mpendwa mtapeli kwa jina la aluyeko juu! Utanishukuru siku moja
Wai...kamoja kalikua kakianza kusali utadhani ni ile siku wanayoiita ya pentekoste,ila sasa kupora waume za watu!!!!! Utadhani kachanjiwaMkuu huwa najibu hoja personality ya mtu wala sina shida nayo .
Call it whatever names, you are out here trying to fool everyone. Faith can't cure anything, it might calm your emotions and give you false hopes, but it will never cure anything.Guess work