Amkeni amkeni! Canelo kapigwa hukoo

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Jamani eeeh kale kajamaa kanachojiita Canelo kamepigwa kipigo cha mbwa koko 🀣🀣🀣🀣

Kalikuwa kanajiona kameshamaliza kila kitu mpaka muda mwengine kanadhani kana uwezo wa kumpiga Money MayπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Angalau makelele yatapungua na zile tambo kwamba yeye ni bondia bora kuliko Floyd Mayweather zitakwisha.

Hongera nyingi sana ziendenkwa Dmitry Bivol kwa kutunyamazishia huyu jamaa🀣🀣

Eti kalikuwa kanataka kupigana na Oleksandadr UsykπŸ˜…thubutuuuu angeweza wapi kama sio kufia ulingoni πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

#Enjoy Sweet Science of boxing#
 
Canelo who?
Ndiye alipandisha bei ya mafuta?
Apigwe tu..........!
 

Eeeh, ngoja nicheki, maana Floyd MayWeather ndio alimpigaga pekee Canelo.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Kampiga kwa point, it was a very close fight
 
Bila picha ama video ni mbuzi kwenye gunia

#TeamPicha
 
Akili yangu imegoma kuushabikia mchezo huu wa kimagharibi!Afadhari mieleka ya akina OKONKWO.
 
Hiyo fight haikuwa na mvuto hata sikujua kama palikuwepo na fight, Canello ndie naemuelewa huyo mrusi kamuotea tu kwa pointi.
 
Kapigwa kutokana na kiherehere chake cha kutaka kutawala kila weight sasa amejichanganya kwa light heavy weight kila akipiga ngumi zinaishia kwenye mikono tu


Hiyo mrusi ana jab moja matata sana ameirusha kuanzia fight inaanza mpk inaisha hajali kama umeweka guard wala nn

By the way canelo is one of the best fighters of this generation
 
Saul Canelo Alvarez bado ameotewa tu.
Canelo ni bondia mzuri, ila kwenye hili pambano ilikua kama mikono imepooza.

Cha maana alichofanya ni uppercuts chache ambazo hazikuleta madhara kwa Bivol.

Kwa sasa Canelo atashuka kwenye viwango vya Pound for Pound ambapo alikuwa kinara kwa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…