Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jamani eeeh kale kajamaa kanachojiita Canelo kamepigwa kipigo cha mbwa koko 🤣🤣🤣🤣
Kalikuwa kanajiona kameshamaliza kila kitu mpaka muda mwengine kanadhani kana uwezo wa kumpiga Money May😅😅😅😅😅😅.
Angalau makelele yatapungua na zile tambo kwamba yeye ni bondia bora kuliko Floyd Mayweather zitakwisha.
Hongera nyingi sana ziendenkwa Dmitry Bivol kwa kutunyamazishia huyu jamaa🤣🤣
Eti kalikuwa kanataka kupigana na Oleksandadr Usyk😅thubutuuuu angeweza wapi kama sio kufia ulingoni 😆😆😆
#Enjoy Sweet Science of boxing#