Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.
Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.
Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa kulishukuru kosi la makamanda wanaojiita jeshi la waliowakandamiza risasi.
Hao jamaa wameona wamekataliwa kabisa na watu wanao dai kuwalinda.
Sasa wanajaribu kujisafisha wawe karibu na ninyi mnaowalipa mishara kwa kodi zenu.
Influencers wote wanaojiita wana harakati wanasisitiza huko ukakamavuni siyo wote wabaya.
Nasemaje 'ntego huu' kwa lafudhi ya kimakonde.
Recho 'Dungwer', Jasusi TV na wenzie wanavitaja vikosi vya kisasi vya kwenye majeshi ya nchi ya kusadikika na kuwasifia kwa kazi nzuri ya kumvua ubingwa jamaa katili. Hiyo mbinu ya kizamani muwaone siyo adui.
Wabaki na lawama na hasira zetu. Walikuwa na uwezo wa kuzuia vijana wetu, mama zetu, dada zetu na baba zetu wasiuwawe kikatili vile. Lakini hawakufanya hivyo, wasaliti tu hao.
Wanajali mshahara na matumbo yao basi.
Mnakumbuka watu waliingizwa mkenge (chaka) habari za yule kiongozi mliyemkataa kung'ata shuka?
Mkashangilia sana ghafla akaibuka akiwa na afya njema na kuwasimanga machogo hamtaki tena kutoka kwa woga wa kilichowatokea 'okii tobaa' 2025.
SHITUKA KUWA MACHO. MNAPANGWA MTAPANGIKA.
REMAIN VIGILANT!
DISCLAIMER:
Sihamasishi matukio ya kulipa kisasi kinyume na sheria. Jiepushe na makosa ya jinai. Crime does not pay.
Cc: Mshana_jr , Retired Salary Slip , naomba tag wadau wengine