Amkeni, mnachezewa akili tetesi za tukio la kamanda katili kuchukuliwa na makamanda wa kulipiza kisasi

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
17,119
Reaction score
32,195
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.

Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.

Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa kulishukuru kosi la makamanda wanaojiita jeshi la waliowakandamiza risasi.

Hao jamaa wameona wamekataliwa kabisa na watu wanao dai kuwalinda.
Sasa wanajaribu kujisafisha wawe karibu na ninyi mnaowalipa mishara kwa kodi zenu.
Influencers wote wanaojiita wana harakati wanasisitiza huko ukakamavuni siyo wote wabaya.
Nasemaje 'ntego huu' kwa lafudhi ya kimakonde.

Recho 'Dungwer', Jasusi TV na wenzie wanavitaja vikosi vya kisasi vya kwenye majeshi ya nchi ya kusadikika na kuwasifia kwa kazi nzuri ya kumvua ubingwa jamaa katili. Hiyo mbinu ya kizamani muwaone siyo adui.

Wabaki na lawama na hasira zetu. Walikuwa na uwezo wa kuzuia vijana wetu, mama zetu, dada zetu na baba zetu wasiuwawe kikatili vile. Lakini hawakufanya hivyo, wasaliti tu hao.
Wanajali mshahara na matumbo yao basi.

Mnakumbuka watu waliingizwa mkenge (chaka) habari za yule kiongozi mliyemkataa kung'ata shuka?
Mkashangilia sana ghafla akaibuka akiwa na afya njema na kuwasimanga machogo hamtaki tena kutoka kwa woga wa kilichowatokea 'okii tobaa' 2025.

SHITUKA KUWA MACHO. MNAPANGWA MTAPANGIKA.
REMAIN VIGILANT!

DISCLAIMER:
Sihamasishi matukio ya kulipa kisasi kinyume na sheria. Jiepushe na makosa ya jinai. Crime does not pay.
Cc: Mshana_jr , Retired Salary Slip , naomba tag wadau wengine
 
Hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuikubali ile taarifa moja kwa moja.

Na ikija kuthibitika kuwa ni uzushi basi nitamdharau sana yule Kaka yake Polepole.

Hai make sense wamdake Mafwele halafu washindwe hata kupiga picha kuvujisha ili watu waamini.

Ndio hata kam tupo kwenye ulimwengu wa AI kwamba ingeweza kukanushwa lakini bado ilikuwa ni option ya lazima.
 
Sihamasishi matukio ya kulipa kiasasi kinyume na sheria. Jiepushe na makosa ya jinai. Crime does not pay.
Cc: Mshana_jr , Retired Salary Slip , naomba tag wadau wengine
Natafuta official statement ya International Criminal Court kuhusu kuwepo nchini Tanzania, lakini sijaipata, ukiachilia mbali taarifa za gazeti la MWANAHALISI.
Lakini kuna jambo linaonekana si la kawaida kuhusu Jasusi na Rachel; si watu wa kuwaamini kabisa. Taarifa za Maria Sarungi Tsehai mara nyingi huwa zimeambatana na ushahidi na facts zilizothibitishwa.
 
Hata mimi mwenyewe nimeshindwa kuikubali ile taarifa moja kwa moja.

Na ikija kuthibitika kuwa ni uzushi basi nitamdharau sana yule Kaka yake Polepole.

Hai make sense wamdake Mafwele halafu washindwe hata kupiga picha kuvujisha ili watu waamini.

Ndio hata kam tupo kwenye ulimwengu wa AI kwamba ingeweza kukanushwa lakini bado ilikuwa ni option ya lazima.
Sidhani kuna mtu mwenye akili anaamini ujinga ule. It might he a trap
 
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.

Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.

Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa kulishukuru kosi la makamanda wanaojiita jeshi la waliowakandamiza risasi.

Hao jamaa wameona wamekataliwa kabisa na watu wanao dai kuwalinda.
Sasa wanajaribu kujisafisha wawe karibu na ninyi mnaowalipa mishara kwa kodi zenu.
Influencers wote wanaojiita wana harakati wanasisitiza huko ukakamavuni siyo wote wabaya.
Nasemaje 'ntego huu' kwa lafudhi ya kimakonde.

Recho 'Dungwer', Jasusi TV na wenzie wanavitaja vikosi vya kisasi vya kwenye majeshi ya nchi ya kusadikika na kuwasifia kwa kazi nzuri ya kumvua ubingwa jamaa katili. Hiyo mbinu ya kizamani muwaone siyo adui.

Wabaki na lawama na hasira zetu. Walikuwa na uwezo wa kuzuia vijana wetu, mama zetu, dada zetu na baba zetu wasiuwawe kikatili vile. Lakini hawakufanya hivyo, wasaliti tu hao.
Wanajali mshahara na matumbo yao basi.

Mnakumbuka watu waliingizwa mkenge (chaka) habari za yule kiongozi mliyemkataa kung'ata shuka?
Mkashangilia sana ghafla akaibuka akiwa na afya njema na kuwasimanga machogo hamtaki tena kutoka kwa woga wa kilichowatokea 'okii tobaa' 2025.

SHITUKA KUWA MACHO. MNAPANGWA MTAPANGIKA.
REMAIN VIGILANT!

DISCLAIMER:
Sihamasishi matukio ya kulipa kisasi kinyume na sheria. Jiepushe na makosa ya jinai. Crime does not pay.
Cc: Mshana_jr , Retired Salary Slip , naomba tag wadau wengine
Sijui kuna nini kinaendelea maana wanapush Sana hizi habari
 
sio balozi wa nyumba 10 kwamba anakaa kizembe bila ulinzi.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini juu ya hilo tukio.

Ila najua siku zake zinahesabika na atamalizwa na system ili kufuta ushahidi wa maovu ya serikali yake!!
 
Hii habari ni mbaya.

Ikiwa kweli ni mbaya.

Ikiwa uongo ni mbaya.
 
Huyo mtu sio balozi wa nyumba 10 kwamba anakaa kizembe bila ulinzi.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini juu ya hilo tukio.

Ila najua siku zake zinahesabika na atamalizwa na system ili kufuta ushahidi wa maovu ya serikali yake!!
Wanadai alifuatwa na kuchukukiwa (kutekwa) na kikosi cha makomandoo wa 'jeshi la wadanganyika'.
Kama alivyo sema Kiranga iwe kweli au sikweli hii habari mbaya.
 
Hata Mimi siamini. Ila tujiulize Hadi wao kuanza kusambaza habari za kizushi kumuhusu huyo mtu .Ina mana Kuna mahali wanadondokea pua
 
Aaaaaggggghhhh!, watajua wenyewe chamsingi habari hii inafurahisha, angalau tumepata furaha kwa muda.
 
Back
Top Bottom