Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

system hacker

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
426
Reaction score
709
New update . . . . 25.12.2022

Merry Christmas and Happy New Year 2023.

Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya biashara zao kwa mtindo wa kutegemeana.
.
.
Kwa mfano:
Huyu atashika Soko la mashuka kwenye mfumo, na atategemewa kwenye mfumo,
.
.
Yule atashika Soko la vitenge kwenye mfumo, na atategemewa kwenye mfumo,
.
.
Mwingine atashika Soko la Ufundi wa vifaa fulani kwenye mfumo, na atategemewa kwenye mfumo, na kadhalika,
.
.
Kwa kifupi kila aliyejiunga kwenye mfumo huu, anapaswa kuwa mteja wa biashara iliyopo kwenye mfumo ili kuinuana kiuchumi.
.
.
Na hiki ndicho kitu kikubwa kinachowaunganisha pamoja kwenye mfumo mmoja.
.
.
Lengo kuu ni ili wasikwame kupata wateja, mikopo, kodi, ada na marejesho ya mikopo.
.
.
Ni ngumu sana kukwama kiuchumi ukiwa ndani ya mfumo huu.
.
.
Mtu yeyote, anaweza kujiunga kwenye 'mfumo' huu, akiwa na biashara na hata bila biashara. Kila siku, watu wanazidi kujiunga.
.
.
Hii ndio Familia yetu kubwa ya kiuchumi kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Kila siku Familia hii inazidi kukua. Tunashukuru kwa hili.
.
.
CMC Marketplace - +255 714 042421.

CMC Marketplace1.png
 
Fedha ni mfumo. Wala haina maajabu yeyote. Usidanganyike na yeyote. Ndio maana waliopo kwenye mifumo ya fedha wanachezea fedha watakavyo huku wengine wakitaabika kama wapo Jehanam.

Hizi fedha ndogo ndogo za kufurahia maisha hazipaswi kabisa kutaabisha watu kiasi hicho.

Watu huyumba imani zao kisa fedha kidogo tu.

Watu hujinyonga kisa marejesho madogo tu.

Watu huvunja mahusiano yao kisa fedha za kula na kuvaa tu.

Watu hutolewa vitu nje kisa kodi kidogo tu.

Watu hushindwa kusomesha watoto wao kisa fedha kidogo tu.

Watu hupoteza nguvu zao za kiume kisa fedha kidogo tu.

Wanaume wanadharaulika kisa fedha kidogo tu.

Watu hukosa heshima kwenye familia zao kisa fedha kidogo tu.

Nipo nimekaa hapa. Nakuambia hv, amka: Fedha ni mfumo. Wajanja wana ku trick usielewe.

Nijulishe biashara yako nikusaidie kupata fedha zaidi kihalali kabisa.

ONYO:

1. Usinipe hata sh. kumi hadi pale utakapoona kweli unafanikiwa kupata fedha zaidi.

2. Fuata mfumo wa maelekezo yangu. Fedha ni mfumo ni lazima kutumia mfumo.

Mfumo wenyewe: Key terms - tunaishi kijamaa kwa kusapotiana biashara. Full stop.

Nijulishe kwa upole na heshima:

0653 537509.
Tatizo ni hilo avatar name
 
Du. Hawa ndiyo wale waganga wa kienyeji wenye uwezo wa kumfanya mtu tajiri lakini wao wanaishi kwenye ufukara.
 
Mimi nadeal na ununuzi wa mazao ya msimu na kupanda miti ya mbao laini,nataka nianzishe scheme ya miti ya mbao ngumu nipe Mpango mnene nisogee
 
N

Na wewe ni. Wale wale tu,njaa Kali,hakuna kitu kinakuja kirahisi hivyo,yaani mtu akutajie biashara yake harsfu wewe umpe mawaiza kuhusu "mfumo "wa pesa!!?acha utapeli bro!maisha ni magumu sana,Kuna watu wanapenda kuchwzea hisia za watu,watu wetu wengi Wana uelewa mdogo,kwa Ugumu wa maisha wanadanganyika sana,mala mafuta ya kuondoa nuksi,kusaidia watoto kufaulu mitiani,kuvuta wachumba,na upuuzi mwingine mwingi,pesa Haina mbambamba,Kuna hitaji la kitu Fulani,leta bidhaa,piga pesa,
Miaka ya 90,kulikuwa hakuna tweeter,Facebook,jamiiforum,Wala mobile phone,watu hawakuishi?ila Kuna miamba ikaona jinsi ya kufanya maisha yawe rahisi,sasa inapiga pesa,watu kibao wanauza nguo,lakini kwanini Vunjabei ni maarufu,ni biashara kanuni tu,hakuna ma conspiracy theories ya Ajabu
 
Unapofanya biashara kama mjasiriamali kuna vitu viwili vya kutazama kutoka kwa supplier wako - customer & partner.

Je, supplier wako anakutumia kama wewe ni customer ama wewe ni partner?

Kama anakutumia kama customer umekwisha fahamu kabisa kuwa unafilisiwa bila kujua na bila kuelewa. Kama anakutumia kama partner uwe na uhakika kuwa upo kwenye mfumo wa fedha wa win win.

Ma milioni ya wajasiriamali wadogo na wa kati hapa bongo hutumiwa kama customers badala ya partners.

Ndio maana kwa bongo mtaji wowote mkubwa unakuwezesha kufanya biashara yeyote na ukatoboa kwa sababu utakuwa unafanya kazi ya kuwafilisi wajasiriamali wadogo na wa kati bila wao kuelewa hata kwa viboko.

Kuwa katika mfumo wa fedha wa win win na supplier wako sio jambo la kitoto. Kwa maneno mepesi ni impossible kwa asiyeelewa kwamba fedha ni mifumo na haina maajabu yeyote ya maana.
 
Watu wengi bongo wana business ideas kali na zenye mantiki kabisa lakini kamwe hazitoboi. Why?

Sababu wengi wanachanganya business ideas na business models.

Hakuna business idea yeyote inayoweza kushawishi flow of money isipokuwa business model pekee. Kwa nini?

Kwa sababu fedha ni mfumo fedha ni model sio ideas.
 
Fedha hazipatikani kwa sababu unafanya kazi kwa bidii wala hazipatikani kwa sababu una akili sana. Fedha zinapatikana kwa sababu ya aina ya mfumo wako wa fedha.

Kuna mamilioni ya watu wana akili si za kawaida, lakini ni mafukara haijawahi kutokea. Mfumo ndio unaaomua wewe uwe na fedha ama usiwe nazo na wala sio akili yako. Akili yako ina mchango mdogo sana kwenye kuamua ww uwe na fedha ama usiwe nazo. Ndio maana kuna watu wajinga na wapumbavu kibao lakini wana fedha wanazichezea tu. Why? Sababu wapo kwenye mfumo wa fedha.

Ukiona wewe ni maskini huna hela its very clear kuwa wewe haupo kwenye mfumo sahihi wa fedha na sio kwamba kichwa huna kitu.

Naendelea kusisitiza tena na tena fedha ni mfumo haina maajabu yeyote ya kuwaataabisha watu.
 
Fedha ni karatasi za kawaida kabisa Serikali ina print na kuita fedha. Wala si mali asili kwamba nchi moja imebarikiwa na nchi nyingine haijabarikiwa.

Ni karatasi kabisa zilizonakishiwa then zikapewa kiki na watu wakawa brainwashed kuwa ni bonge la dili....wakati muda huo huo kuna watu wanazitumia km watakavyo na wengine wanazitaabikia hata wanakufuru Muumba wao.

Lengo lake kubwa ni kuwa medium of exchange nothing more.

Tupo kwenye nyakati ambazo km huna fedha hata penzi hupati. Kwenu ulikozaliwa unaonekana ni snitch tu huna lolote. Washkaji wanakukwepa huna issue. Hahahahaha

Nipo pale nimekaa nawaambia fedha ni mfumo amkeni msijidanganye. Naelewa mamilioni ya watu hawatanielewa nini nachoongea hapa sababu naongea vitu ambavyo you have to be so enlightened ili uelewa. Ukiwa wa kawaida kawaida huwezi kamwe kunielewa utaishia kunishushia zigo la stress zako za kutokuwa na hela!
 
Mimi nadeal na ununuzi wa mazao ya msimu na kupanda miti ya mbao laini,nataka nianzishe scheme ya miti ya mbao ngumu nipe Mpango mnene nisogee
Mkuu ukipata huo mpango mnene, nina mashamba ya kukodisha kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, na yakununua pia yanapatikana. Location Kilosa Moro. Karibu uwekeze huku!
 
Umewahi kujiuliza, hv inakuaje unapata fedha halafu unafilisika? Kwani zimekwenda wapi?

Umewahi kujiuliza kuhusu midororo mbalimbali ya kiuchumi Duniani ama kwenye nchi husika?

Umewahi kujiuliza hv inakuaje mzunguko wa fedha unakuwa mgumu kwa nyakati fulani na rahisi kwa nyakati fulani?

Ni mfumo wa fedha ndio kisababishi cha hayo yote.

Nataka niseme ki ufupi kabisa. Mfumo wa fedha unaamua wewe ufilisike ama usifilisike. Wewe uwe tajiri ama usiwe tajiri uliyechoka?

Yaani kuna mifumo ya fedha ambayo kuwa na fedha ni lazima uwe unataka ama hutaki. Yaani kuwa na fedha si hiyari yako bali ni lazima kwa sababu mfumo umetaka uwe hivyo.

Wasiliana nami kwa upole na unyenyekevu nikusaidie mfumo ambao utakulazimisha wewe kuwa na fedha hata kama hutaki. Cha muhimu uwe na biashara na ufuate maelekezo yangu ya sayansi ki mfumo wa fedha. Fedha ni mfumo.

Acha kutaabika vihela vidogo vidogo wewe. Usidanganyike eti hela ngumu. Mbona wengine wanazitumbua? Kwani kwako ndo iwe ngumu?

Nipo pale nimekaa - 0653 537509.

- Imeisha hiyo -

Jukwaa nawaachia JF stress team waendelee kuharisha kwenye uzi!

bye!
 
Back
Top Bottom