Ammwagia tindikali (acid) kisha akamuua mchepuko wake

MK254 unasemaje kuhusu hili

Sijui la kusema maana haya madude ya kuchepuka na kuuana kwenye mahusiano ni kitu kilianza tangu enzi za mitume, hakina utaifa wala nini, nikianza kuweka humu matukio ya Tanzania nitajaza server za watu bure....sio kitu cha kuwaza ligi.





https://www.facebook.com/
 
Nilikuwa nataka kuona uwepo wako humu ndani 🤣🤣🤣
 
Wanawake wa Kenya huwa wanawapiga sana wanaume zao ngumi,huyu alishindwaje kumdhibiti huyo mwanaume wake?
 
Uzuri sijataja nilipo
 
Demu mwenyewe m'bovu, wala hana maajabu..
Kwa Kenya huyo ni level za Masogange mzee baba! Yani kumiliki demu wa hivyo Kenya ni miujiza maana ndio level ya pisi kali 😁😁😁 kule kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…