Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Umeongea vyema Sana na huu ndio ukweli mtupu kuielezea serikali hii na ndio maana inaungwa mkono na watu wa aina tatu

Wenye upeo mdogo (Hawa ni wale wazee wa vijijini wengi wao mpk Leo wanavaa makofia na maflana ya CCM yaliyochoka ambao wanaaminishwa kirahisi vyama vingi vitaleta Vita ujinga wa enzi zile wanao mpk Leo.

Wanufaika na mfumo dhalimu (Hawa ni makada na wooote wenye maslahi ya wazi au ya Siri na ccm na serikali yake hapa pia wapo wanaofanya siasa Kama ajira

Wachumia tumbo (Hawa wanajua ujinga uliopo ila wameamua kuwa wanafiki makusudi Hawa pia Ni wataka vyeo na teuzi hili Ni kundi hatari Sana kwasababu Lina include vijana wa vyuo vikuu ambao wanajitangaza kwenye social media wakiamini kwamba ipo siku wataonekana na kupata teuzi za kisiasa.
 
Magufuli ni mkimbizi kutoka Rwanda. Anachofanya ni kuhakikisha nchi inabakia vipande vipande atakapoondoka. Tusingekuwa na viongozi shupavu na wananchi wastaarabu mpaka sasa wengi wetu tungekuwa wakimbizi Kenya.
Na mamaako ni mkimbizi kutoka wapi vile? Nikumbushe tafadhali ngusillo. Nakumbuka uliishawahi kuniambia nimesahau!
 
Mwaka 2026 mwenye kinga ya kutoshitakiwa ni mtukufu magufuli peke yake, wengine wote hususani Doto watapelekwa Segerea kwa ufisadi uharibifu wa mazingira kwa kujenga Stiglaz goj ndani ya mbuga ya wanyama kuathiri mimea kuua wanyama pori na Athari nyinginezo nyingi, miradi yote mikubwa ina ufisadi wa kutisha kuanzia Ununuzi wa Ndege, ukarabati wa Ndege, uwanja wa Ndege Julius Nyerere, ujenzi wa Reli, flyover kila kona upo ufisadi CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna unafuu, miaka minne sasa hakuna nyongeza za mishahara lakini pesa za kudhoofisha upinzani zipo nyingi kuwanunua madiwani wabunge wa upinzani anayo lakini ya kuongeza mishahara hakuna, Deni la Taifa limezidi kupaa zaidi kuliko Awamu zote tokea Nchi ipate Uhuru.
 
Hama nchi ili uwe huru. Siyo kutuletea ngojera hapa.
Una nini cha pekee kuliko raia mwingine hata ufikirie yeye anatakiwa kuondoka na siyo wewe au anayeliharibu Taifa?

Tanzania ni ya watanzania wote. Kila mmoja ana haki na uhuru kwa kadiri ya matakwa ya katiba yetu na sheria tulizoziweka. Hakuna mwenye haki kumzidi mwingine. Kila mmoja afuate na kuitii katiba.
 
Wanufaika wa mfumo Dhalimu akina Naibu Rais Daud Bashite na kikundi chake cha akina Le Mutuz kubwa jinga, cyprian Musiba, Joseph yona na wenzao wote ndiyo wamelifikisha Taifa hapa kwenye chuki kubwa toka kwa wananchi wapenda haki na maendeleo, kwa Akili zao ndogo bado wanaeneza propaganda za kijinga jinga na mikwara mbalimba kuwatisha watu kwenye Group za Whatsapp waogope kuhoji chochote ili waendelee kuitafuna keki ya Taifa peke yao. Hakuna maendeleo Tanzania chini ya CCM kwani ni miaka 58 sasa Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani bado haijapiga hatua yeyote kimaendeleo, pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi lakini mtukufu magufuli anasifiwa yeye utazani ni pesa zake binafsi toka mfukoni, hakuna maendeleo chini ya CCM zaidi ya Nchi kuendelea kudidimia kiuchumi na haki za binadamu kupuuzwa zaidi.
 
Historia inaonesha bwana John tangu akiwa mwakilishi wa mabaharia pale mjengoni hajawahi kukubali upinzania au kukosolewa. Sasa hiyo attitude ya kipuuzi imekuzwa hadi kufikia ngazi ya taifa ndio maana tunashuhudia ubakaji wa demokrasia kila pembe ya nchi
 
Kama unaweza kuhoji uhalali wa huyu kwanini wa mwingine tusihoji!?
CCM ya sasa kazi ni moja tu kumsifia mtukufu hata haki za msingi kabsa wao wanaona ni Hisani toka kwa mtukufu, unaweza shangaa kusikia hata Goli la samata alilowafunga Liverpool ukaambiwa ni juhudi za mtukufu, Yaani mtukufu sasa anasifiwa kwa visivyosadikika
 
Na mamaako ni mkimbizi kutoka wapi vile? Nikumbushe tafadhali ngusillo. Nakumbuka uliishawahi kuniambia nimesahau!
Naona unaleta matusi baada ya kuishiwa hoja, jiwe ni mkibizi hvyo amani usiamini huo ndiyo ukweli. Kila kinachomuhusu jiwe kina utata, kuanzia elimu yake(PhD fake) mpaka uraia wake.
 
Mshauri wa mkuu wa mtukufu ni Naibu Rais Daud Bashite ambaye ni muumini wa mfumo wa chama kimoja, ushauri wake mkubwa ni kuua mfumo wa vyama vingi warejeshe mfumo wa chama kimoja wabadili katiba wapate kutawala milele na milele kama China, Uganda, Cameroon, cuba, hawataki kutoka ikulu mapema kwa hofu ya Serikali ijayo kuwahukumu kwa mabaya yao wanayoyatenda sasa.
 
Mkuu ndiyo maana Wanasiaa wa Upinzani wakawekwa Kizuizini ili wasihoji yote hayo. Mbaya zaidi hata watumishi wa umma wanaoona dhuluma ya wazi wameamua kuwa wanafiki juu ya haki zao.
 
Tuwe na subira. Mtu huyu anaweza kutawala milele lakini hataishi milele. Hatimaye atakufa kama Mungu alivyosema lakini Atakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo, zaidi sana kwa maovu aliyowafanyia watanzania; ni ubinadamu tu kukumbuka mabaya zaidi kuliko mema!
 
Naona unaleta matusi baada ya kuishiwa hoja, jiwe ni mkibizi hvyo amani usiamini huo ndiyo ukweli. Kila kinachomuhusu jiwe kina utata, kuanzia elimu yake(PhD fake) mpaka uraia wake.
Pata picha yeye ana PhD feki na mshauri wake Daud Bashite hana vyeti na wapambe wa Bashite akina cyprian Musiba na Le mutuz hawana Elimu wala Taaluma kichwani, ukiuchunguza huu mlolongo unagundua ni kwa nini Utawala huu wa awamu ya tano umejaa lawama manung’uniko juu ya unyanyasaji mwingi usio na Tija kwa Taifa.
 
Naibu Rais Daud Bashite yeye hajui hayo anajua hawatakufa wataishi milele na milele ndiyo maana hachoki kumshauri vibaya mtukufu.
 
Hata yeye mwenyewe wanamlia timing Katiba ibadilishwe nae ajibu tuhuma zake.
 
SHETANI utamjua kwa matendo yake, na ndicho tunachokiona watanzania.
Hakuna mwanaadam mwenye roho mbaya kama Magufuli. Jamaa sio mtu kabisa kabisa.
 
Haya mambo ukiuliza siku hizi utajibiwa ni kwa sababu tunanunua ndege, tunajenga reli, tunajenga Stiglers, vituo vya afya n.k. Hivyo hata mtu akifungwa kwa kuonewa na hata kuuwawa ni sawa tu!
CCM ya sasa ina visingizio vya ajabu wakati wakitekeleza uonevu wao
 
SHETANI utamjua kwa matendo yake, na ndicho tunachokiona watanzania.
Hakuna mwanaadam mwenye roho mbaya kama Magufuli. Jamaa sio mtu kabisa kabisa.
Wamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni wameporwa pesa zao kienyeji wengi wamebambikiwa kesi hakuna uhuru wa kufanya siasa kuna uonevu wa kutisha kwenye utawala huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…