Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Nikasema tu hihiiiii ba ngoshaaa[emoji1787][emoji1787]

Acha mziki uendelee, Uhuru huo ili twiga wapande ndege?
 
Na wewe utaacha lini kutomsifu na kutomuabudu Jiwe?

Nani alikuambia upuuuzi hujibiwa na mtu asiyempuuzi? Upuuzi hupuuuzwa kama walivyopuuza wanahabari makini/vyombo vya habari makini ripoti ya kipuuzi!
Kumuabudu Jiwe ni kuabudu sanamu.Hata kama vyombo Vya habari vinaunga mkono serikali haiwezekani iwe vyote,100%.Ukiona unasifiwa kwa asilimia 100 unatakiwa ujitafakari na sio ufurahie!
 
Hahaaa ,juzi nilikuwa namshikaji mahala wananzengo story Zikanoga hadi kwenye siasa mshikaji akasema hapa tuhame hizi story za siasa sitaki hata kuskia.
Siku hizi hata mkiwa mnakunywa bia ukianza kuisema serikali watu wanakulazimisha uongee kwa sauti ya chini chini! haya mambo hayakuwepo haya!

Kwa sisi tusioogopa kitu ukiendlelea kuongea unaona jamaa wanasepa mmoja mmoja!

Ndo nchi ilipofika hapa. Na kwa taarifa yenu taarifa hii haitachapishwa gazeti lolote la kesho wala kusikia kwenye TV.
 
Eti sheria zote zifutwe. Wakati hizo sheria hazipo je zilitusaidia kuleta maendeleo kama haya yanayofanywa na serikali ya JPM.

Tena nashauri ziongezwe sheria na zipewe ukali zaidi ili wapuuzi wachache kama waliomzushia kifo Mh. Rais wakamatwe vinzuri na kupewa adhabu kali.

Ni ujinga kuendekeza the so called uhuru usiokuwa na mipaka.
Upo sahihi.
 
Hapa ndio huwa simuelewi rais Magufuli na watu wake Yani sisi Mungu Katuumba tukiwa huru na hata azimio la UN la declaration of human rights linasema wazi all humans were born free Sasa Cha ajabu hapa kwetu bongo hili Ni kosa la jinai Yani ukimchalenji Magufuli na mfumo wake wewe unakuwa an enemy of the state na utaitwa majina Kama yote kwakweli mzee tutakukumbuka kwa mengi

Miaka hamsini ijayo hata tukiiona hii reli ya standard gauge na bwawa la stiglaz goj hatutavipenda Sana maana tutakumbuka vilivyogharimu Uhuru wetu tukiwa vijana na baadhi ya maisha ya watu !

Hakika historia itakukumbuka kwa mengi hasa yaliyo hasi!
 
Mods kama kawa nyuzi zangu Ni za kufutwa hivyo sitashangaa!
 
Hama nchi ili uwe huru. Siyo kutuletea ngojera hapa.
Hapa ndio huwa simuelewi magufuli na watu wake Yani sisi Mungu Katuumba tukiwa huru na hata azimio la UN la declaration of human rights linasema wazi all humans were born free Sasa Cha ajabu hapa kwetu bongo hili Ni kosa la jinai Yani ukimchalenji magufuli na mfumo wake wewe unakuwa an enemy of the state na utaitwa majina Kama yote kwakweli mzee tutakukumbuka kwa mengi

Miaka hamsini ijayo hata tukiiona hii reli ya standard gauge na bwawa la stiglaz goj hatutavipenda Sana maana tutakumbuka vilivyogharimu Uhuru wetu tukiwa vijana na baadhi ya maisha ya watu !

Hakika historia itakukumbuka kwa mengi hasa yaliyo hasi!
 
Magufuli ni mkimbizi kutoka Rwanda. Anachofanya ni kuhakikisha nchi inabakia vipande vipande atakapoondoka. Tusingekuwa na viongozi shupavu na wananchi wastaarabu mpaka sasa wengi wetu tungekuwa wakimbizi Kenya.
 
Ni majuzi tu 2007 wakenya walichinjana kama kuku, lakini Magufuli amesahau mapema hivi? Haya mambo ya CCM yataleta madhara yatakayodumu miaka mia ijayo.
 
Kuelekea 2020, kazi kubwa itakayofanyika ni kuwatambua wanaoiunga mkono CCM. CCM ni adui namba moja wa mtanzania. Siku kikombe cha chuki wanayotulazimishia kikijaa ni lazima watakinywa.
 
Hapa ndio huwa simuelewi rais Magufuli na watu wake Yani sisi Mungu Katuumba tukiwa huru na hata azimio la UN la declaration of human rights linasema wazi all humans were born free Sasa Cha ajabu hapa kwetu bongo hili Ni kosa la jinai Yani ukimchalenji Magufuli na mfumo wake wewe unakuwa an enemy of the state na utaitwa majina Kama yote kwakweli mzee tutakukumbuka kwa mengi

Miaka hamsini ijayo hata tukiiona hii reli ya standard gauge na bwawa la stiglaz goj hatutavipenda Sana maana tutakumbuka vilivyogharimu Uhuru wetu tukiwa vijana na baadhi ya maisha ya watu !

Hakika historia itakukumbuka kwa mengi hasa yaliyo hasi!
Sikio la kufa halisikii dawa green party is on the verge of collapse
 
Kwa sababu ni serikali iliyojengwa kwenye misingi ya uongo na uzushi, serikali inayopika takwimu ili ionekane inafanya kazi hivyo wanazuia watu msiwachallenge kwenye uongo. Wanataka wakisema umasikini umepunga 92% asitokee mtu wa ku-challenge au kuhoji umasikini umepunguaje, ukihoji unaitwa sio mzalendo, utapewa kesi ya uraia. Yaani hii serikali ya wanyonge kua mzalendo maana yake ni kua taahira, mtu mpumbavu asietumia akili kuhoji, ukihoji tu kosa.

Ni serikali ambayo inataka ikisema imejenga viwanda 4,000(vingi kuliko vya ujerumani, ujerumani wana viwanda 2,500) kwa miaka 4 kila mtu akubali, maana yake kiwanda kimoja kimejengwa kwa wastani wa siku 3.

Ni serikali ambayo ikisema ilipoingia madarakani faru waikua 5 ila leo wako 145(ukihoji ina maana siku hizi faru wanataga mayai), unaishia kupata kesi, inasema tembo walikua 500 leo wako karibu 50,000 unashangaa tembo siku hizi anazaa kama samaki?

Serikali ikisema uchumi unakua 17%, asitokee mtu wa kuhoji, ukihoji unaishia jela.
 
Back
Top Bottom