Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

Ni bora huko wanawabagua wenye rangi tofauti na wao, hapa kwetu tumeanzisha ubaguzi wa vyama, itikadi na kabila nk. Kuna watu wanaonekana si lolote just because hawaipendi CCM kuna watu hawapelekewi maendeleo kisa walimchagua mtu wa chama tofauti na chama tawala. Tofauti yenu na hao ni nini?
Malizia tu kwa kusema sisi ni wapumbavu, ndio maana haya majitu yaliyoendelea yanatudharau, tumetaka wenyewe, kuwa ana viongozi aina ya jiwe lazima tuonekana stupid, yaani unakimbilia kununua mandege (kwa bei ya kughushi, juu ya bei halisi, tena kwa taslim) na wakati elimu inayotolewa na serikali ni ya hovyo, huduma za afya za hovyo, eti mnanyoosha nchi
 
CCM ya sasa kazi ni moja tu kumsifia mtukufu hata haki za msingi kabsa wao wanaona ni Hisani toka kwa mtukufu, unaweza shangaa kusikia hata Goli la samata alilowafunga Liverpool ukaambiwa ni juhudi za mtukufu, Yaani mtukufu sasa anasifiwa kwa visivyosadikika
Maadam ni kiongozi wa Tanzania kwa sasa nina haki ya kumsifia kwasababu ni maamuzi yangu. Kama wewe huwezi, sawa. Ni maamuzi yako.
 
Naona unaleta matusi baada ya kuishiwa hoja, jiwe ni mkibizi hvyo amani usiamini huo ndiyo ukweli. Kila kinachomuhusu jiwe kina utata, kuanzia elimu yake(PhD fake) mpaka uraia wake.
Angalia niliyemjibu aliandika nini. Au ninyi kutukana haki yenu. Basi sawa.
 
Back
Top Bottom