Amnesty International: Tanzania must provide evidence to back-up charges or release political opposition leader

CCM hawakawii kusema kwani hao Amnesty International mambo ya ndani ya Tanzania yanawahusu nini?
 
Wanajua hii ni serekali dhalimu ya kipuuzi
Ushahidi ni matukio yaliyopita
 
Tunaendelea kutawaliwa kimabavu safari mwanamama ndio anayetutesa. Mungu tusaidie kama ulivyofanya mwanzoni mwa mwaka huu!
 
Wanajua hii ni serekali dhalimu ya kipuuzi
Ushahidi ni matukio yaliyopita
basi wasiseme kuwa serikali itoe ushahidi, waseme tu kuwa serikali imwachie bila sharti lolote. Wakiomba ushahdi, inabidi wausubiri utakapotolewa mahakamni.
 
Wananchi wapi?. Sema inaongeza chuki kwako, hakuna mwananchi mwenye akili timamu akachukizwa kukamatwa kwa gaidi. Tena operation ungeendelea mule saccos, kungepatikana magaidi mengine mengi tu..
Swali kupoteza muda kukujibu.
Huna akili.
 
Binadamu kama Binadamu wameongea.
 
Wapo CCM wengi waungwana hawapendi ujinga huu.
Wanaogopa kufunguka tu wasije kukamatwa,ila wapo wengi sana utasikia Huyu mama katuharibia
CCM hawakawii kusema kwani hao Amnesty International mambo ya ndani ya Tanzania yanawahusu nini?
UVCCM hawajatoa tamko
 
Ushahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Wewe ni mjinga kwa sababu huelewi member state obligations kwenye huzi international organizations.
 
Ushahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Hakuna cha ushahidi. Kesi itafutwa ..... Ataachiwa leo.
 
This is stupidity of the highest degree- Provide evidence to who- I think the matter is before the court of law were the dual process is highly observed.
Ni kichaa pekee ndiye anaamini kuwa Tanzania tuna mahakama katika maana ya mahakama. Mahakama ambayo ipo kwaajili ya kuekekezwa uamuzi wa kufanya na Rais, inakuwa mahakama au kitengo cha Rais?
 
Hakuna cha ushahidi. Kesi itafutwa ..... Ataachiwa leo.
kwasababu Mmarekani amekuja kupiga goti kwa mama? na machadema wakaambiwa watulie, wawe na heshima waache ujinga pindi atakapoachiwa. pamoja na hayo, ameshajifunza adabu, siku nyingine atakuwa na heshima.
 
Wewe ni mjinga kwa sababu huelewi member state obligations kwenye huzi international organizations.
we ndio mburura kabisa, hebu nitajie obligations ambazo nchi inaweza kuwa nazo kwenye mashirika ya kimataifa ya kawaida kabisa ambayo hatujatia saini. hatuwajibiki kwa lolote, sema tu tukiamua kufanya ni kukwepa kuchafuliwa tu, nothing more. hebu tuambie, sisi kama nchi tunawajibika vipi kwa amnesty international ambayo hadhi yake haiko mbali sana na legal and human rights centre ya Dar es salaam. na hiyo "member state" unalega member wa nini, kuna member wa vitu vingi, member wa UN, member wa ICC, member wa mkataba fulani, member....., wewe unalenga kwamba kwa amnesty international sisi ni member wa organisation ipi? shwain.
 
Credibility ya Amnest International? You gotta be joking, hilo shirika lina credibility mara milioni zaidi ya Tanzania, majority of our citizens are zombies kwani kama ni suala credibility ukiweka hypocrisy pembeni utawala wetu uanze kwa utaratibu wa kufuata haki na sheria ili uwe credible.
 
Mbegu ovu aliyoipanda magufuli italitafuna taifa hadi kizazi 9/10.
Hakuna rais ataingia Ikulu akatenda haki kwa wapinzani,wote watafuata ya mtangulizi wao WA dhuluma.
Magu was another version of Idd Amin.
 
wewe ni mpumbavu, usifananishe Tanzania na international NGO. Tanzania imekuwepo kabla ya hiyo takataka, Tanzania ni member wa UN na mashirika makubwa duniani, Tanzania ni sovereign country...icho kitakataka hakina popote pa kushika, hata funding yake wanategemea wafadhili, kinaweza kufa any time. pia we are not bound by then in anyway, kwasababu ni shirika dogo sana, ila lina mdomo sana kuweza kukuchafua kama chadema mnavyoweza kuchafua hali ya hewa, ilo tu basi.
 
Kwani sisi tuna mahakama katika maana ya mahakama?
Kama uko nchini utaelewa… akina mdude tulieashangilia humohumo, akina Mbowe Pesa zao ziliponea huko, akina sabaya wanapigiliwa nyundo humohumo nk.

but if you are on the online republic then you can create your own
 
Well presented mkuu.
 
Umaarufu wa Mbowe umezidi mara 100 ule wa Samia , yaani Samia ukiacha huu urais wa kuokota hakuna anapojulikana
 
Ni kichaa pekee ndiye anaamini kuwa Tanzania tuna mahakama katika maana ya mahakama. Mahakama ambayo ipo kwaajili ya kuekekezwa uamuzi wa kufanya na Rais, inakuwa mahakama au kitengo cha Rais?
Hamia Burundi Mkuu isiwe tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…