comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Labda kwenye Jamhuri ya wavuta bangi kama ya Mbowe, wewe na wenzako.Umaarufu wa Mbowe umezidi mara 100 ule wa Samia , yaani Samia ukiacha huu urais wa kuokota hakuna anapojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwenye Jamhuri ya wavuta bangi kama ya Mbowe, wewe na wenzako.Umaarufu wa Mbowe umezidi mara 100 ule wa Samia , yaani Samia ukiacha huu urais wa kuokota hakuna anapojulikana
Kuna mahali nilisoma kabla hujaingia kwenye siasa hakikisha Una ngozi ngumu kuhimili mikiki mikiki yake.Umaarufu wa Mbowe umezidi mara 100 ule wa Samia , yaani Samia ukiacha huu urais wa kuokota hakuna anapojulikana
Sovereign country polically, lakini kwenye bajeti nchi ombaomba.. Check deni la taifaUshahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Asije akapelekwa Mzena kwa PreshaKuna mahali nilisoma kabla hujaingia kwenye siasa hakikisha Una ngozi ngumu kuhimili mikiki mikiki yake.
Mama ameshindwa kuhimili japo hoja moja tu ya Katiba. Ndiyo kwanza anasiku 142 za Utawala wake.
Ajipange hasa
Naona uliishia kusikia.Wananchi wa Dar na mikoa mingine wameanza kuingia dar ili kuhudhuria kwenye mahakama ,Dar imeanza kuchemka mara hii itakuwa mahakamani haendi mtoto,nasikia wananchi watajipanga barabarani kuhakikisha wanaonyesha umoja kwa mwenyekiti wao.
... suspicious hiding?"...wakili msomi zingatia sarufi ya kiingerezaThough criminal offence dies with an accused person, the timing of Mbowe's arrest is raising a notable suspicious 'hiding' agenda. Why now?
Ushahidi [substantial evidence] kwenye hili utoke wapi ndugu wakati kwenye maelezo yao tu yanaonesha utupu mtupu...?Hiki ni kiherehere tu; kwani kama kesi iko mahakamani si ni kwamba ushahidi utatolewa kwa mahakimu? Ni afadhali wasubiri waone ushahidi kwanza halafu waupinge kuliko kufanya hii preemptive moves ambazo zinaweza kuleta shaka kwenye credibility yao, yaani kuwa wao ni wa kupingana na serikali tu - wameshachagua side ya kukaaa mezani kabla ugali haujaiva
kwahiyo nchi ikiwa ombaomba inakuwa sio sovereign internationally?Sovereign country polically, lakini kwenye bajeti nchi ombaomba.. Check deni la taifa
Mbona hawakuomba ushahidi alipo uawa kashogi wa Saudia? mbuzi hao.Ushahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Ni imani yako tu kwani hujui pia kuwa AI haimaniwi na wala haifanyi kazi katika nchi nyingine duniani, kwa mfano ChinaCredibility ya Amnest International? You gotta be joking, hilo shirika lina credibility mara milioni zaidi ya Tanzania, majority of our citizens are zombies kwani kama ni suala credibility ukiweka hypocrisy pembeni utawala wetu uanze kwa utaratibu wa kufuata haki na sheria ili uwe credible.
Kwenye misaada mbona hamsemi wawe wapole? shame on youUshahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Hana akili huyuPumbavu kabisa wewe. Juzi hapa mlikuwa anasema hivyohivyo juu ya COVID leo mnakimbizana kwenda kuchanjwa!
Una sovereign country gani wewe hata Pampers za watoto na paddy za wanafunzi zimekushinda kutengeneza!
Hamna akili ndio maana mnakubushwa mharifu wa 2020 kwa Nini asubiliwe mpaka aanze makongamano ya katiba ndio akamatweUshahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Mkuu wakati mwingine najiuliza hawa watu walisoma shule gani hizo waliambiwa lazima tukubaliane lila kitu? Hawataki hata tufikirie tofauti wao wanaamini ccm haikosei kabisaHana akili huyu
Credibility ya China linapokuja suala la human rights ni questionable hivyo mfano wako hapo ni sifuri kabisa.Ni imani yako tu kwani hujui pia kuwa AI haimaniwi na wala haifanyi kazi katika nchi nyingine duniani, kwa mfano China
Ajifunze kwa JK kuwa na ngozi ngumuAsije akapelekwa Mzena kwa Presha