Amnesty International: Tanzania must provide evidence to back-up charges or release political opposition leader

Amnesty International: Tanzania must provide evidence to back-up charges or release political opposition leader

Tunajitangaza vizuri sana kimataifa! Na hii itaboresha mahusiano mazuri pamoja na wadau wa maendeleo huko duniani hivyo kuongeza pato la kigeni kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
 
kwahiyo nchi ikiwa ombaomba inakuwa sio sovereign internationally?

Definition of sovereign

one possessing or held to possess supreme political power

Kimsingi ni nguvu za kisiasa tu..!!! Unapokuwa ombaomba unakosa nguvu za kiuchumi..!! SKUJIBU SWALI LAKO... NDIYO
 
Credibility ya China linapokuja suala la human rights ni questionable hivyo mfano wako hapo ni sifuri kabisa.
Wacha majibu ya hovyo kwa kuamaini tu kuwa kwa vile ni organization inayoitwa international basi in nguvu popote. Kwanza elewa kuwa AI ni NGO siyo chombo kinachotambuliwa na mamlaka yoyote hata umoja wa mataifa. Mimi nilishawanchangia dola mia mbili kwa vile hutembeza bakuri sana kwa watu binafsi ili kuweza kuwa affloat.

Wakati marekani imeweka wafungwa kule Guantanamo, kulikuwa na uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu, lakini AI haikusema chochote; miaka kama kumi baadaye ndipo wakafungua kesi Mahakamau kuu kuishtaki serikali ya marekani kuhusu sheria ya FISA (Foreign Intellgence Surveilance Act) ambapo sheria inaipa mamlaka serikali kudukua simu za mtu yeyote zinazokwenda au kutoka nje; wakadai kufanya hivyo ni kukiuka haki za binadamu lakini kesi yao ikawa dismissed na mahakama kuu bila hata kusikilizwa! Huoni kuwa hiyo ina-question legitimacy na credibility ya AI. Wangekuwa credible kesi yao ingesikilizwa.

Kuna mifano mingi sehemu nyingi za dunian kuonyesha kuwa hawatambuliki; wanasikilizwa tu kama wanaongelea nchi dhaifu lakini siyo nchi zenye nguvu. Waliwahi kumshitaki Tony Blair pia kesi ikawa dismissed.
 
Ushahidi utaletwa mahakamani, wawe wapole wasubiri tu. pia, wasitufokee, hawana mandate kutuamrisha kufanya chochote, tunafanya kwa ridhaa na wakati wetu, sisi ni sovereign country, unlike wao ni NGO ya kimataifa tu. shwain.
Alifadhili Ugaidi August 2020 kabla ya General election na akanyamaziwa???? Mlikuwa mnasubiri aanze Mchakato wa Katiba Mpya ndio aitwe Gaidi?? Nina hakika ingekuwa kweli angetupwa Jela 2020 ili asigombee Ubunge.
Mungu akutetee Mbowe. Haki huinua Taifa.
 
Je, kukamatwa kwa Mbowe na polisi Mwanza kulikeuka sheria? Mtafiti kutoka Shirika la Amnesty International anena



#Kenya Mahojiano na Mtafiti Roland Ebole kutoka Shirika la Amnesty International.

Source : Mwanzo TV
 
Alifadhili Ugaidi August 2020 kabla ya General election na akanyamaziwa???? Mlikuwa mnasubiri aanze Mchakato wa Katiba Mpya ndio aitwe Gaidi?? Nina hakika ingekuwa kweli angetupwa Jela 2020 ili asigombee Ubunge.
Mungu akutetee Mbowe. Haki huinua Taifa.
Gaidi ni huyu bibi mwenye macho ya mahaba na uzee wake
 
Back
Top Bottom