Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Mnaropoka sana kama mnajua uhalisia..

Ovyo zenu kabisa
 
Mbona hukuwaunga mkono walipotangaza maandamano?

Acha unafiki
 
'Mbona Maalim Seif miaka yote hiyo hajawahi kukimbia na vitisho babkubwa alivyokuwa anapata hadi sasa na juzi alijitoa barabarani na akina Jussa na wenzake na bado yupo Unguja.'

Inaonekana wewe umri wako bado ni mdogo sana au ulikua bado haujazaliwa, haujui hata kwenye zile vurugu za Zenji enzi za Mkapa huyo Maalim alikimbilia Mombasa?
 
Mbona hukuwaunga mkono walipotangaza maandamano ?

Acha unafiki
Ndio mana nimesema wapo legelege sana kiongozi anayeikimbia nchi kwa hofu ya kuogopa kuuliwa atawezaje kukaa mbele akaongoza maandamano.

Ili mimi niunge mkono walipaswa wao kuwa mbele sisi tuwe nyuma yao. Kibaya zaidi hao wananchi sasa kiongozi wao anapohama nchi kwa hofu wao ndio watakuwa wahanga ambao hautakuwa na ukombozi tena. You failed Chadema.
 
Shwain!!! Maalim Seif hajawahi kukimbia mahali popote tokea umeanza mfumo wa vyama vingi Tanzania 1992. Baadhi ya wananchi wa Pemba ndio walikimbia pale shimoni Mombasa. Na hivi naandika leo ameenda Pemba. Maalim Seif mara ngapi walijaribu kumuua na kumpa masumu bado yupo ndani ya visiwa vya karafuu Zanzibar.

CHADEMA imefeli sana, CCM imefanikiwa sana kwa upande wa Tanganyika na upinzani huko bara ndio kwisha tena.
 
Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?

Acheni utoto jamani.
Wewe siku hizi nakuheshimu kwa sababu unajitambua, watu wako kwenye mateso kwa maana halisi ya neno hilo.
 
Risasi 16 kwa mtu na bado wengine wanakimbia nchi wewe unasema ana huruma ???????????????
 
Kama wao wako legelege wewe ukoje?
 
Nakwambia hivi wewe bado ni mtoto mdogo sana,ninayoyasema hapa huwezi kuyaelewa.

Wewe pengine hujui hata baada ya machafuko yale maalim kaja karudi hapa mjini na akawa anaishi pale 'Kilimanjaro hotel' akiwa na familia yake kwa muda mrefu tu tena pesa ya kuishi pale ikilipwa na serikali.

Ungezaliwa muda mrefu kidogo ungejua haya yote.,ila ndio hivyo tena.
 

Acha waende tujipiganie sie wenyewe na wao wanachoka aisee
 
Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?

Acheni utoto jamani.
Tumia kichwa kufikiria, Usiku wa kuamkia tarehe 2 walimkamata na kumweka ndani alikua na kosa gani?
 
Nafikiri CCM ndio wanaongoza kwa majambo, CCM walivyounajisi Uchaguzi Mkuu,they deserved an Oscar..
Haha, Chadema mna kazi.

Swali kutoka kwa wapiga kura wajao:
Uchaguzi wa 2025 mtapigia kampeni ndani ya balozi za kigeni au mkiwa uhamishoni?
 
Kwa hiyo inamaana CHADEMA wangeshinda wangeuza mfuko shs 5?

Silly question..

Mimi nadhani badala ya kuuliza swali la kijinga kama hilo, ungejiuliza na kujijibu kwanza swali hili;

Ni halali kwa mfuko wa simenti kuuzwa kati ya Tshs. 22,000 hadi 35,000 wakati wiki chache zilizopita mfuko huohuo ulikuwa ukiuzwa kati ya Tshs. 13,000 na 16,000?
 
Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?

Acheni utoto jamani.
Kama hauna hali yeyote mbaya iliyo katika maisha yako basi ni vyema ukaacha kuwaambia watu wana utoto maana huenda hakuna tunalolijua kuhusu anayoyapitia baada ya huo uchafuzi uliopita wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…