Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

Haha, Chadema mna kazi.

Swali kutoka kwa wapiga kura wajao:
Uchaguzi wa 2025 mtapigia kampeni ndani ya balozi za kigeni au mkiwa uhamishoni?
Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa

Mimi ni Mtanzania na kwanini unifikie kuwa mimi ni mwanachama wa Chadema kwanini isiwe ACT-Wazalendo.

Hii inaonyesha ni kweli kuwa Waafrika chini ya Jangwa la Sahara uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,We are sub human.

Mkuu Nchi inapotea, Watanzania tuna taharuki kubwa kwenye nyoyo zetu.

Wewe unashangilia ujinga,unashangilia dhulma,unashangilia ubaguzi, unashangilia ubakwaji wa haki za bibadamu.

Tafauti za mawazo ya mtanzania mwenzako kuwa na mawazo tafauti ya kisiasa yemekufikisha hapo!!yamekufanya uwe mjinga.
 
Glory To God...
 
Taharuki unayosema ni ya kutengeneza tu na wala sio ya ukweli. Mkulima wa mahindi Ruvuma, mfanyakazi wa kiwandani Dangote, dockta hospitali ya rufaa au hata muongoza watalii Kilimanjaro hawajuwi taharuki ya aina yoyote hapa nchini. Muache hizi sinema, hazina manufaa yoyote kwa mwanachi au nchi kwa ujumla.
 
Si nilikwambia Mwanzo kuwa sisi Watu Weusi hatuko Sawa

Hisia zako za kupenda Chama chako cha siasa zinakufanya usione mabaya yanayotokea Kwa Mtanzania mwenzako alie na mawazo tafauti ya kisiasa

Mkuu, Nchi inameguka, Kama ni taharuki ya kutengenezwa au ya kweli, Lakini hii Nchi inaelekea pabaya

Kuna wanasiasa wako ndani wanateswa kama wahaini,kosa lao ni kuwa na mawazo tafauti na Chama tawala,mfano mdogo huyu jamaa wa ACT anaeitwa Mazurui

Katiba inaruhusu Watanzania Kuwa na mawazo tafauti ya kisiasa,na Ndio maana tuna Vyama vingi vya kisiasa hapa Tanzania

Sasa kwanini uwatese wananchi, kwanini uwatese Wanasiasa..??!! kwanini watu wanalazimishwe kukimbia Nchi,kwanini tuwe Wakimbiz?
 
Mawazo tofauti au mawazo ya kupewa na watu wa nje.

Kama mawazo tofauti ni jambo la kikatiba kwanini wabunge walioshinda kihalali wanashinikizwa na watu wachache wasitimize majukumu yao ya kuwatumikia wananchi?

Mnapenda kusema katiba kule tu kunako wapendeza nyinyi.
 
Crap from a mental cripple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crap from a mental cripple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema yupo kwenye mateso yapi? Si juzi tu hapo alikuwa anagombea Ubunge?

Acheni utoto jamani.
stroke imetafuna mpaka akili,pole MKUU....babu yangu anayo dawa....TUWASILIANE
 
Risasi 16 kwa mtu na bado wengine wanakimbia nchi wewe unasema ana huruma ???????????????
Mkuu unaweza kusadikisha niyeye aliompiga risasi tutulie jamani jizohekaheka hajidai waupande wangu nahitaji maendeleo kuhisiana hakufai
 
Mkuu unaweza kusadikisha niyeye aliompiga risasi tutulie jamani jizohekaheka hajidai waupande wangu nahitaji maendeleo kuhisiana hakufai
Walau angeonyesha sympathy na kuamuru vyombo vya usalama viwatafute na kuwakamata waliohusika.

Ukimya wake unatia mashaka to anay reasonable person unless unataka kusema wewe siyo reasonable
 
Mnahamu ya kwenda nje, hanma nauli mnajifanya kutumia mbinu za kijinga Alianza Lisu, kaja lema na Nyarandu. Kuweni na akili
 
Walau angeonyesha sympathy na kuamuru vyombo vya usalama viwatafute na kuwakamata waliohusika.

Ukimya wake unatia mashaka to anay reasonable person unless unataka kusema wewe siyo reasonable
Nafikiri litolewe ilo ombi hamtaki kuwasilisha mmekalia kushutumu hata kama nimimi unanita mchawi nimeua alafu nije kilioni walasiwezi simeni tumeshindwa kumjua aliompiga risasi lisu sasa serekali tusaidieni tumjue bila kutia hofu alafu muuone kama hawapatikani shutuma zenu ndiozilisababisha akakosa matibababu
 
Asicheze na wakenya wazee wa fursa, hawachelewi kumfanya bargaining chip kwenye mzozo wa KQ na TCAA.
 
Asirudie kaziyaketuhukooo
Mbayaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…