G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini.
Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia.
Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika nilionao ni kwamba CHAUMMA hawatapewa tena ule ufadhili wao wa pesa ambazo waligawiwa awali. Hakuna tena mgao wa majimbo kama walivyodanganywa.
Sasa tuone ni vipi wataendelea mbele.