Amos Makala Hongera kwa Coco Beach, Ila huoni Kama tunaweza fanya zaidi ya pale?

Forodhani ili tengenezwa na Aga Khan foundation kama sikosei.
 
tuko nyuma sana kuboresha beaches, hapo mto msimbazi sijui patakamilika lini kuonekana kama paradiso.wewe angalia barabara iingiayo daraja la nyerere hapo kivukoni, haina palm trees wala miti ya maua pembeni, ipo kinyoka nyoka tuu, sijui nani awajibike kufanya kitu kiitwacho PIMP{kufanya soap soap }
 
Maputo niliyo isikia ni Ile mwaka wao wa kwanza kupata Uhuru ,miaka Ile Samora alikuwa anatutambia sisi tulikuwa hoi tumetoka kupigana na idd Amin,baada ya hapo sijafuatilia Wana Hali Gani ,kuhusu viwanja vya michezo MAREHEMU Samora alikuwa anasifia wakati vilijengwa na mkoloni wa kireno,na nadhani alivyoona mambo ya kuendesha nchi sio mchezo,sijui ndio akasaini mkataba na makaburu wa SA wa Nkhomati
 
We mbishi tu unadhani kuishi buza ya Maputo ndio kuijua vizuri. Acha uongo mji ule umepangika na una structure za maana sana kuliko za Dar.
Hahahaaa,naishi jirani na ofisi za Tv ya Taifa njia unayotokea Afrin Hotel kuelekea Ikulu (ipo mjini kilimani) uelekeo wa Polana Hotel mjini centre, kwenda Fish Market. Sehemu nilizozitaja zipo karibu na ufukwe wa bahari isipokuwa mjini centre.

Na Maputo sio kubwa au nzuri kivilee kuikaribia Dar, inaizidi Mwanza kidogo tu!!

Kama hiyo ni buza ya Maputo is okay!!!

Usikariri kijana na kuibeza nchi yako!!

We pambana na midemu yao yenye sura chotara na zilizokakamaa,lakini wanapenda bata kinoma noma mazeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa! Kinachoshangaza hata kupanda na kuihudumia Miti uhitaji mabilioni ya hela Ila bajeti ndogo tu kama ya nyumbani
 
Hahaha
 
Forodhani ili tengenezwa na Aga Khan foundation kama sikosei.
Kwa nini sasa na mapato yote ya halmashauri tushindwe kuweka hata paving blocks pale Coco Beach? At least kuziwekea hata na vumbi na matope?
 
Duh! Yaelekea naongea na mselamsela hivi. Haya nakubali kushindwa.
 
Kwa nini sasa na mapato yote ya halmashauri tushindwe kuweka hata paving blocks pale Coco Beach? At least kuziwekea hata na vumbi na matope?
Hawana any innovation. Ww angalia parking issues posta. Halmashauri ime convert pavements ya pedestrians kuwa parking. Pedestrian wana tembea barabarani maana pavements imekuwa parking. Halmashauri imetengeneza parking ngapi? Afadhali Mzee Sabodo kajenga ile 'sabodo parking arcade ' hapo India Street. Wafanyakazi wa skali ni kula mishahara tu, that's it. No performance.
 
Kwa hiyo wauza mihogo na mishikaki sahv wamekaa kimpangilio siyo

Ova
 
Ukienda Zanzibar basi coco utaona kama kichaka cha kujisaidia na Wala si beach
 
Acha utani wewe na i can say hujawahi kufika maputo 100%
 
Acha utani wewe na i can say hujawahi kufika maputo 100%
Maputo ipi ambayo sijawahi kufika? Njoo hapa Afrin Hotel tusalimiane, sisi ni ndugu ili u-prove beyond reasonable doubt!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…