Hahahaaa,naishi jirani na ofisi za Tv ya Taifa njia unayotokea Afrin Hotel kuelekea Ikulu (ipo mjini kilimani) uelekeo wa Polana Hotel mjini centre, kwenda Fish Market. Sehemu nilizozitaja zipo karibu na ufukwe wa bahari isipokuwa mjini centre.
Na Maputo sio kubwa au nzuri kivilee kuikaribia Dar, inaizidi Mwanza kidogo tu!!
Kama hiyo ni buza ya Maputo is okay!!!
Usikariri kijana na kuibeza nchi yako!!
We pambana na midemu yao yenye sura chotara na zilizokakamaa,lakini wanapenda bata kinoma noma mazeee!!
Sent using
Jamii Forums mobile app