Pre GE2025 Amos Makalla amjibu aliyekuwa DC Longindo, adai kama alienda Maporini labda alienda Kuchimba Dawa, hakutumwa na Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba huyo Makalla anadhani sisi wananchi tunasubiria serikali au CCM ikubaliane nankauli za Nape na huyo DC?
 
Huyo Ng'umbi anaakili kuliko makala na nimkweli kuliko makala...
Kunaviongozi weengi duni sana kichwani ambao hawawezi kutufikisha popote kama nchi
 
Kivumbi leo “Mtumishi anakunya chama kinajitahidi kusafisha lakini kabla jambo halijaisha PT kaharisha tenaa”
 
Hiyo ndio CCM ya Mwl.Nyerere yenye jina lilelile na haitaki ukweli unaosemwa na wanaCCM walewale.
 
Na kwamba kauli za aliyekuwa DC wa Longindo anaijua mwenyewe, huenda aliishiwa Hotuba na kuamua kuzungumza porojo zake mwenyewe
Wakati mwingine ni vzr kuchutama kuficha aibu, Kimya ni busara
CCM tutameni, hii aibu haiwezi kuepukikakwa kauli nyepesi za watu kama kina makalla,
Jitihada zozote za kukanusha hili ni aibu ya wazi ambayo inachochea hasira kwa wapiga kura.
 
🤣🤣🤣 kwaiyo mweshimiwa makalla DC alishikwa na tumbo la kuhara dah ccm nyie syo kwa kuchafuana uko
 
Wakati mwingine ni vzr kuchutama kuficha aibu, Kimya ni busara
CCM tutameni, hii aibu haiwezi kuepukikakwa kauli nyepesi za watu kama kina makalla,
Jitihada zozote za kukanusha hili ni aibu ya wazi ambayo inachochea hasira kwa wapiga kura.
Shetani hana rafiki
 
Nawaza elimu yake ty sio kwa amropoko uke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…