Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.
Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote
Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .
Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii