Pre GE2025 Amos Makalla anakagua Stendi kama nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

Screenshot_2024-07-18-02-01-44-1.png
 
Serikali iliyowekwa madarakani na wezi wa kura. Hayo yamesemwa na mjumbe mmoja. Na amesema matokeo ya kura yanatangazwa kwa kuzingatia nani anayetangaza. Nape amesema wizi upo palepale
 
Mkuu, na wewe buni mbinu uwe unakagua shughuli za chadema kama katibu mwenezi wa chama mitandaoni. We huoni kina mbowe wanakwea chopa ili kujipa ujiko?
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
KMC tayari ilikwisha porwa na CCM, tuwe tunaweka kumbukumbu, tuliambiwa kuwa KMC ni mali ya CCM na si ajabu tukaambiwa kituo cha mabasi cha Mwenge ni mali ya CCM.
 
Hivi FM ACADEMIA bado ipo?
Umenikumbusha enzi zile MTU unaingia mziki kwa hela yako, wakati unaendelea kucheza na demu wako unaona mziki unasimamishwa ghafla, halafu wanasema papaa Fulani anapokea simu. Basi papaa ataongea na simu huku mliotoa pesa yenu halali mmenyamaza mpaka mjinga mmoja amalize kuongea na mchepuko wake.
 
Anajua maana ya kukagua?Anapita kuangalia rangi zilivyopangwa katika kupakwa na kufurahisha macho tu.Ukaguzi ni zaidi ya afanyacho.Ukaguzi huendana na utaalamu wa kikaguliwacho.Makalla the comical!
Kwamba alienda yeye tu bila wataalamu?
 
Kwani mnataka kuficha nn, kama mmeifanya kazi kwa weledi shida iko wapi
 
Usishangae hilo.Jana kwenye kwenye ziara ya Rais ya kiserikali mtu anatambulisha wachama wapya wa CCM kutoka Chadema.yaan Nchi haina standards nini kiwe wapi nani afanye nini bado tupo na akili za chama kimoja.
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kuacha shughuli zako na kwenda kumsikiliza huyu Makala?
 
ccm ndiyo chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza nchi aidha kihalali au kwa njia aloisema nnauye, hivyo wana haki na wajibu wa kufuatilia utekelezwaji wa ilani yao huko serikalini.
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
Huyo ndio boss akiwa hapo ulipo wewe na mbowe mtapisha apige kazi yake na utaendelea kulalamika ,hautaki utatolewa kwa nguvu .
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
Wakati mwingine kukaa kimya ni busara.

Tanzania tunachaguwa vyama hatuchagui watu.

Kama wewe upo active kwenye siasa na hulijui hili basi bora tucheze Komasava tu maana ni msiba mzito.

Unajuwa kwa nini ccm wanalazimisha Rais wao lazima ndio awe mwenyekiti wa chama chao?
 
Hivi FM ACADEMIA bado ipo?
Umenikumbusha enzi zile MTU unaingia mziki kwa hela yako, wakati unaendelea kucheza na demu wako unaona mziki unasimamishwa ghafla, halafu wanasema papaa Fulani anapokea simu. Basi papaa ataongea na simu huku mliotoa pesa yenu halali mmenyamaza mpaka mjinga mmoja amalize kuongea na mchepuko wake.
Mapapaa wenyewe ndio hawa akina Makalla , Ndama na Jack Pemba
 
Kama katibu mwenezi wa chama kilichounda serikali inayotekeleza ilani ya chama cha mapinduzi baada ya ushindi wa kishindo 2020 chini ya jemedari mwana wa afrika Hayati Dkt John P.Magufuli!
Ni lini ataenda kukagua wizara ya fedha ili kuangalia uwezekano wa kuongeza mzunguko mitaani?
 
Back
Top Bottom