Pre GE2025 Amos Makalla anakagua Stendi kama nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139

View: https://www.instagram.com/reel/C9jbLgvIQIb/?igsh=N3N0d2N2a2xzaXQz
 
Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kuacha shughuli zako na kwenda kumsikiliza huyu Makala?
Kwahiyo huo umati wote Hauna akili?

Oky

Shida yenu ni kuamini Kila Nyumbu ana haki ya kuswagwa mtaani kumbe haki yenu porini
 
Lini atatembelea BOT?
Kuna mradi ?

Maana Sasa unajitoa akili sana ndg

Ndio ujue jinsi gan amjajiandaa kushika Dola kama ujui makala ana cheo gan na kwanini amekagua mradi wa Mwenge

Chama Cha Mapinduzi ndio Chenye Dola Hilo nalo ujui?

Manispaa ya Kinondoni Kwanzia Mbunge , Meya , Madiwani Wenyeviti wa Mitaa ni CCM

Sasa unaona wivu boss wao kuwatembelea na kuwakagua au

Uolewe Sasa maana gubu limezidi
 
Kwi Kwi Kwi
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
Ndio maana mara zote nasema Chadema nyie ni nyumbu,vitu vidogo sana hamna uelewa navyo.

Nguvu kubwa mumewekeza kwenye mambo ya sheria na kesi Kwa sababu mnajua hamna hoja.

Yaani unauliza kabisa anakagua kama nani? Serikali inachotekeleza ni ilani ya Chaga gani? Ilani inazungumzia mambo yapi kwani? 😁😁😁😁😁😁
 
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.

Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya Kinondoni na ametembelea pia soko la Mwenge, vitu hivi alivyotembelea ni vipya na wala havihusiani na ccm na wala havina changamoto yoyote

Swali letu ni hili, Ameenda huko kama nani na ili iweje? au hajui majukumu yake ya kazi? kama lengo lake ni kutatua kero mbona hajaenda kwenye masoko yaliyododa kama soko la kijichi au masoko yanayonuka uchafu kama Stereo na Mabibo? au ameamua kutafuta kiki za bei rahisi baada ya kushindwa ku trendi kwa muda mrefu .

Watanzania hata kama ni wajinga lakini si watu wa kutapeliwa kirahisi namna hii

View attachment 3045139
Hayajierewi haya ma popoma
 
Back
Top Bottom