LGE2024 Amos Makalla: CCM haitaji kubebwa, Siasa sio ugomvi wala vita

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Jitu zima likibebwa halisemi. Utasikia "nilitembea mwenyewe". Sasa mwenye nazo anajiuliza, na hiyo wheel chair!
 
Chama kikongwe bado kinapokea wanachama MAJUKWAANI? Hizo kadi zitasajiliwa wapi na lini sasa??
 
CCM wamefika pabaya sana. Wanakuua halafu wanakuambia siyo vita bila kupepesa macho
 
Gentleman,
CCM inajitegemea yenyewe kushinda uchaguzi kwa kishindo, na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…