LGE2024 Amos Makalla: Kuna mgogoro mkubwa unakuja ndani ya CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.

Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"

Pia, Soma:
 
Sasa mbona anatabiri watakachoongea wengine kwenye kikao chao? Kwani CCM ni shwari? Kuhusu fomu moja ya ugombea Urais anathani wana CCM wataikubali? Anataka kurasimisha uchafuzi wa Uchaguzi? Anathani Watanzania ni wajinga? Matokeo ya uchaguzi yalikuwa mfukoni na ni mjinga tu ndio atawaamini. Mmewachezea Watanzania kiasi cha kutosha mwisho wa mchezo uko karibu.
 
Ohooo! Ukisikia kauli hii ujue kuna kigogo ndani ya chadema kafika bei. Hata ya Msigwa yalianza hivi hivi!
 
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.

Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"

Pia, Soma:
Akili nyingine bwana, ulijuaje km hukuupandikiza ww?
 
Pamoja na Kudaiwa Kushinda Uchaguzi kwa Zaidi ya 100%, Wanaccm Wanaona Aibu, Hawashangilii

Katika kipindi cha hivi karibuni, kumeripotiwa matukio ya kushangaza katika uchaguzi wa ndani wa chama cha Mapinduzi (CCM), ambapo matokeo yanayoelezwa yanaonyesha kuwa chama hicho kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 100. Hali hii imesababisha sintofahamu na aibu miongoni mwa wanachama wa chama hicho, ambao kwa kiasi fulani wanaonekana kukosa ari ya kusherehekea ushindi huo.

Ushindi wa Kijinga?

Matokeo haya ya uchaguzi yameibua maswali mengi kuhusu uhalali wa mchakato mzima wa uchaguzi. Hivi karibuni, baadhi ya wanachama wa CCM wameeleza kufadhaika na hali hiyo, wakisema kuwa ushindi wa aina hii hauwezi kuwa halisi. Wanaamini kuwa ni muhimu kwa chama chao kuonyesha uwazi na ukweli katika matokeo, ili kudumisha imani ya umma. Wengi wamejifanya kuwa hawana furaha, na badala yake wanatazama matokeo haya kama kichekesho ambacho kinadhihirisha udhaifu wa mfumo wa uchaguzi.

Aibu kwa Wanachama

Wanachama wa CCM, ambao kwa kawaida wanajulikana kwa shangwe na furaha wanaposhinda, sasa wanaonekana kuwa na aibu. Badala ya kusherehekea, wanakutana na hisia za kukatishwa tamaa. Hali hii inadhihirisha kwamba hata ndani ya chama chao, kuna wasiwasi juu ya mwenendo wa siasa za ndani. Wanachama wanashindwa kuelewa jinsi chama chao kinaweza kujivika taji la ushindi wa zaidi ya asilimia 100, wakati ukweli wa mambo unaonyesha hali tofauti kabisa.

Mkataba wa Uaminifu

Katika siasa, uaminifu ni nguzo muhimu. Wanachama wa CCM sasa wanataka kujua ni kwa vipi chama chao kinaweza kujiweka katika nafasi ya kuaminiwa na wananchi, wakati matokeo ya uchaguzi yanaonyesha mabadiliko yasiyo ya kawaida. Wengi wanahoji kama kuna haja ya kufanyika mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi ndani ya chama hicho. Wanasisitiza kuwa ni muhimu kuwa na uchaguzi wa haki na wazi ili kudumisha imani ya wananchi.

Matarajio ya Wanachama

Wakati wanachama wanashindwa kusherehekea ushindi wa chama chao, matarajio yao yanaweza kuwa na athari kubwa kwa mustakabali wa CCM. Wanachama wanatarajia kwamba viongozi watasikiliza sauti zao na kuleta mabadiliko katika mchakato wa uchaguzi. Wanaamini kuwa ni muhimu kwa chama chao kujitathmini na kurekebisha kasoro zilizopo ili waweze kurejesha imani ya umma. Hii ni hatua muhimu kwa CCM katika kutafuta kuimarisha nafasi yake katika siasa za Tanzania.

Changamoto za Baadaye

Kwa kuzingatia hali hii, chama cha CCM kinakabiliwa na changamoto nyingi. Hali ya kutokuwepo kwa shangwe na furaha miongoni mwa wanachama inaweza kuathiri pakubwa juhudi za chama katika kuelekea uchaguzi ujao. Ikiwa hali hii itaendelea, kuna hatari kwamba CCM itakosa uungwaji mkono kutoka kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla. Wakati huu wa kutafakari, chama hakina budi kuchukua hatua stahiki ili kurejesha imani na kuimarisha mshikamano kati ya viongozi na wanachama.

Hitimisho

Katika hali ya kushangaza ya ushindi wa uchaguzi wa zaidi ya asilimia 100, ni dhahiri kwamba wanachama wa CCM wanaona aibu na kutokuwa na furaha. Ushindi huu unahitaji kufanyiwa kazi kwa makini ili kuhakikisha kuwa chama kinarejea katika msingi wa imani na uwazi. Ni lazima viongozi wa CCM watambue hisia za wanachama wao na kufanya mabadiliko yanayohitajika ili kuimarisha chama hicho katika nyanja za kisiasa. Kwa kufanya hivyo, CCM inaweza kujenga tena uhusiano mzuri na wananchi na kuhakikisha kuwa inabaki kuwa chama imara katika siasa za Tanzania.
 
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.

Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"

Pia, Soma:
Yaani bila kuisema chadema tamko linakuwa halijakamilika. CCM wangekuwa na uwezo wa kimungu wangewfuta wafuasi wote wa chadema kwenye uso wa dunia.
 
Ndugu Makalla hebu ficha UPUMBAVU wako
Mgogoro wa CDM unahusiana nini na
1.Kuenguliwa kwa wagombea wa Upinzani tu, Tanganyika nzima?
2.Kuandikisha watu wafu na watoto
3.Karatasi feki
4.Kutokujibiwa kwa rufaa za Wagombea wa Upinzani na hao maDAS
 
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.

Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"

Pia, Soma:
Wajinga ndio watawaamini,ni kama Simba na Yanga wakifungwa Huwa wanafukuza makocha kuficha udhaifu wa Kiongozi.

Kimsingi Lisu kafurahi sana akidhani ni Tiketi ya kumwambia Mbowe ameshindwa hivyo yeye ataweza.

Napenda sana Lisu awe Mwenyekiti tuone kama Chadema haijamfia 😂😂
 
Kumsikia ni sawa. Hoja ni kwamba unaposema adui muombee njaa je nawe ulimuombea njaa. Alipokuwa analima mpunga na hadi ada zilimshinda kulipa kipindi cha magu?
Sijasema mimi amesema Makala mbona unajifanya husikii?😎😎
 
Back
Top Bottom