Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
So makala akisema wewe ni mpumbavu na kwamba nimemsikia. Inatosha kusema na kuamini kwamba wewe ni mpumbavu bila kuangalia mambo mengine yanayothibitisha pasi na shaka kwamba wewe ni mpumbavu? Magufuli alifanya mambo mangapi ya upumbavu nawe ulikuwa unayaamini na kushangilia leo yapo?Sijasema mimi amesema Makala mbona unajifanya husikii?ππ
Mgogoro wa kutengenezwa na CCM.. Amefeli sanaAmos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.
Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"
Pia, Soma:
JE NINI KIMEPELEKEA CCM KUSHINDWA KUSHINDA ASILIMIA 100 NA KUAMBULIA ASILIMIA 99 TU?Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.
Aidha, ameongeza kuwa "Chochote watakacho sema leo ni kuficha ukweli juu ya matatizo waliyonayo juu ya maandalizi mabovu, hakuna jambo lingine. Tutegemee hadaha, upotoshaji na uongo na utengenezaji wa propaganda ili kuwatuliza wanachama wao lakini wakificha matatizo yao. Ila ninachojua kuanzia tarehe 1, mgogoro utaendelea kuwa mkubwa katika nafasi wanazoenda kugombea ndani ya chama chao"
Pia, Soma:
Mbona unaanza kunitukana tena; umepanick au vipi?So makala akisema wewe ni mpumbavu...
Mkafanya nini?Tunashuhudia kwa macho yetu police wakishirikiana na green guard wakipora uchaguzi.huyu mzee kazeeka vibaya
Kajifunze kwanza kuandika.jinga wewe.chadema msisubutu kuanzisha viashiria vya kuchezea tunu ya taifa(amani)
HAKIKA HAKUNA MTU ATAWAVUMILIA WAJINGA WA MWISHI NYIE
Hapo hakuna mgogoro ila machawa wa mbowe wanataka kutengeza mgogoro kisa Lisu kuonesha nia ya wazi ya kugombea uenyekiti japo mwaka mbowe alitangaza kuachana na uenyekiti 2023Mgogoro wa kutengenezwa na CCM.. Amefeli sana
Kumbe makala aliliona muda???Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha.