Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,
Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni.
Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM hayahitaji tochi na ndio maana itashinda kwasababu watu wana imani nayo.
Makalla alisema kuwa wagombea wa CCM ni wagombea safi na wachapa kazi.
==============================================================
Makalla anaongelea maendeleo yapi wakuu? Au mimi naishi nchi tofauti ?