Amos Makalla ni moto humfuata yeye au yeye huufuata Moto kwenye Masoko? Sababu ni nini?

japokuwa hilo soko lilijengwa na wakoloni miaka ya 1800s lakini wabongo wameshindwa hata kuweka fire ditecta
 
Mbona alipokua Katavi soko halikuungua Moto? na je mbona masoko hua yanaungua maeneo kibao hii nchi kuliko hizo sehemu tatu ulizozitaja je huko nako hua anakuwepo? Ni jambo tu la kawaida?
 
umesoma kwa umakini ukaelewa? nahujaona kuwa kuna shida sehemu? once is an incident, twice is coincidence but three times ... people start asking....
 
Bilasahaka atakuwa na uzoefu mkubwa sana wa kupambana na haya majanga, bilashaka hata hili halitamshinda.

Au ni masoko yana nyota ya makala
 
Wachunguze je baada ya Moto alileta watu wake Ku replace waliopo??

Hao watu walimpa nini??
 
Pedeshee makalla Hadi bendi za dansi zilikuwa zinamuimba ..
 
umesoma kwa umakini ukaelewa? nahujaona kuwa kuna shida sehemu? once is an incident, twice is coincidence but three times ... people start asking....

Thats your opinion not a fact, hakuna scientific evidence ku prove that
 
Ndiyo! Hayati Magufuli aliliongea ili wazi kabisa japo tuhuma moja kwa moja zilienda kwa Mkuu wa Wilaya ila alieleza wazi kuwa naye kamtoa Mkuu wa Mkoa kwenda Katavi kwaajili ya uangalizi kutokana na Matukio ya moto kipindi hicho huko mkoani Mbeya.

Amosi Makalla tangia afike Dar es Salaam kuwa mkuu wa mkoa mpaka sasa yameungua Masoko matatu la Kariakoo, Mwenge Cocacola pamoja na Karume jana!

Amoss Makalla una matatizo gani na watu wa hali ya chini? Unataka wakaishi wapi?
 
Ndiyo! Hayati Magufuli aliliongea ili wazi kabisa japo tuhuma moja kwa moja zilienda kwa Mkuu wa Wilaya ila alieleza wazi kuwa naye kamtoa Mkuu wa Mkoa kwenda Katavi kwaajili ya uangalizi kutokana na Matukio ya moto kipindi hicho huko mkoani Mbeya.

Amosi Makalla tangia afike Dar es Salaam kuwa mkuu wa mkoa mpaka sasa yameungua Masoko matatu la Kariakoo, Mwenge Cocacola pamoja na Karume jana!

Amoss Makalla una matatizo gani na watu wa hali ya chini? Unataka wakaishi wapi?View attachment 2083394
Hatar
 
Tunaendelea na usaf
IMG_20220116_121411_0.jpg
 
Lilipoungua Soko la Shirika la Masoko Kariakoo nilishangaa sana.

RIP Bedi Amuli
 
Back
Top Bottom