MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Toleka tolekaYenye iko inakula totozi zenye ziko na shundu mingi sana!
Mususu mususu lopotanshiel molinga batolomi ngambale motema pembe papa Amose Makaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toleka tolekaYenye iko inakula totozi zenye ziko na shundu mingi sana!
Mususu mususu lopotanshiel molinga batolomi ngambale motema pembe papa Amose Makaya!!
Hapana mkuu,kimbuka usemi huu"Once is happenstance, twice is coincidence, thrice is enemy action"Hapana makala namfahamu ni mtu mzuri Sana ni coincidence tu.
Kumbukumbu hazidanganyiWe dare to speak openly. Nisiongee mengi ushahidi ni huu. Kutakuwa na nyota ambayo inaambatana na Amos Makalla. Sehemu nyingi anazokuwepo.
View attachment 1850077
umesoma kwa umakini ukaelewa? nahujaona kuwa kuna shida sehemu? once is an incident, twice is coincidence but three times ... people start asking....Mbona alipokua Katavi soko halikuungua Moto? na je mbona masoko hua yanaungua maeneo kibao hii nchi kuliko hizo sehemu tatu ulizozitaja je huko nako hua anakuwepo? Ni jambo tu la kawaida?
inafaa apelekwe CHATO/GEITA ili kiumane na kule kati ya mbuga ya kuchonga au airportWe dare to speak openly. Nisiongee mengi ushahidi ni huu. Kutakuwa na nyota ambayo inaambatana na Amos Makalla. Sehemu nyingi anazokuwepo.
View attachment 1850077
ame specialize kwenye masoko.inafaa apelekwe CHATO/GEITA ili kiumane na kule kati ya mbuga ya kuchonga au airport
Hata kigogo mkaa ni ' makala'.Uchambuzi niliyo kutana nao huko FB wanasema Makalla ni neno la kisukuma lenye maana ya mkaa(kwa kisukuma makala) hivyo yeye anatembea na mkaa
umesoma kwa umakini ukaelewa? nahujaona kuwa kuna shida sehemu? once is an incident, twice is coincidence but three times ... people start asking....
HatarNdiyo! Hayati Magufuli aliliongea ili wazi kabisa japo tuhuma moja kwa moja zilienda kwa Mkuu wa Wilaya ila alieleza wazi kuwa naye kamtoa Mkuu wa Mkoa kwenda Katavi kwaajili ya uangalizi kutokana na Matukio ya moto kipindi hicho huko mkoani Mbeya.
Amosi Makalla tangia afike Dar es Salaam kuwa mkuu wa mkoa mpaka sasa yameungua Masoko matatu la Kariakoo, Mwenge Cocacola pamoja na Karume jana!
Amoss Makalla una matatizo gani na watu wa hali ya chini? Unataka wakaishi wapi?View attachment 2083394