macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
FMES amesema kuna mkutano wa dharura tarehe 28/03/2010, tusubiri tuone.
In the meantime......
Hamna mtu ndani ya chama anaweza kukomesha haya mambo jamani?
Mtu alituhumiwa kwa MATUMIZI MABAYA YA FEDHA katika wizara aliyokuwa anaongoza halafu kabla hata uchunguzi juu yake haujakamilika (hatujaambiwa) anapewa madaraka ya fedha ya chama?
Lakini Watanzania tumelogwa? Nani aliwaambia CCM huwa inawapa vyeo watu waaminifu. Huyu mama ni fisadi ndio maana amepewa (kama ni kweli) hiki cheo. Unataka wamweke mtu mwadilifu halafu wakati wa uchaguzi wakipora fedha za kampeni (kama ilivyo kawaida yao) wazipitishe wapi? Majambazi ndio yanapangana tayari kwa action hivyo.....