Pre GE2025 Amos Makalla: No reform no election ni maneno ya kwenye Kanga, tupo tayari kwa ajili ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao waliosema wamejifungia ndani kutafakari” Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
 
Ndiooo, yaani mtu anatembea kwa kuchechemea ndio atuzuie tusifanye uchaguzi
 
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao waliosema wamejifungia ndani kutafakari” Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222308
Siasa za majitaka
 
Alikuwa anajaribu kuongea kama Lissu?
1000018482.jpg
 
CCM imewakaa kichwani no reform no election, leo TLP wamefanya uchaguzi hakuna CCM yoyote aliyefuatilia kinachoendelea
Kikubwa ikipita October tunajua Samia anaapishwa .....sijui ni kwa uchaguzi au namna gani ila kioo cha mtaalam kinaonyesha Samia 100% anaapishwa tena
 
Makala, kwa lugha ya makabila kafhaa , ni takataka. Makala analiishi jina lake kikamilifu.
 
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao waliosema wamejifungia ndani kutafakari” Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla
View attachment 3222308
eti no reform no elections dah!

kachedema bana saa zingine kanachekesha sana :pedroP:
 
Back
Top Bottom