Pre GE2025 Amos Makalla: Wakati mwingine kwenye maandamano msiende! Baada ya maandamano mnarudi nyumbani, imebadili nini? Wenyewe wanalipana posho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo anataka waongoze maandamano bila kula?
 
Makalla ni zezeta tu apuuzwe yeye anakomaa kupiga kelele posho ya siku inaingia hadi imemnenepesha kama kifutu.
 
CHADEMA HAWAWEZI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI . najua washapanga watu wafanye fujo za hapa na pale . Zaidi itakuwa ni kelele mtindo mmoja . KIONGOZI KANENA UKWELI , HAWABADILI KITU ZAIDI YA AKINA FULANI KUWAZIA POSHO .
 
Ingawa akili ya makala imeshachoka.

Ila chadema kulipana posho kwenye maandamano haijakaa vizuri.
 
Ingawa akili ya makala imeshachoka.

Ila chadema kulipana posho kwenye maandamano haijakaa vizuri.
Yeye huyo mashavu kunona Makalla kwani halipwi posho hapo? Jee yeye anawalipa hao wanaokuja kumsikiliza ? Aache undezi wake.
 
CHADEMA HAWAWEZI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI . najua washapanga watu wafanye fujo za hapa na pale . Zaidi itakuwa ni kelele mtindo mmoja . KIONGOZI KANENA UKWELI , HAWABADILI KITU ZAIDI YA AKINA FULANI KUWAZIA POSHO .
Idiots wa CCM mpo evenly distributed, kila mtandao mpo kwa ajili ya kuchapisha ujinga wenu na kuanika vichwa vyenu vilivyokosa akili.
 
Kwani Kenya uliona watoto wa mawaziri??lkn hawajanyooka kina ruto??
 
Sasa waende na watoto wao kwani hao watoto wao wako pamoja nao au baba akiwa chawa ccm ni lazima mtoto nae awe chawa ccm atake asitake.
 
Itakufanye wakati kila siku inaandika barua kwa Samia kuomba ruzuku za miaka ya nyuma, Kama wajanja warudishe ruzuku zote uone Kama watadumu🤣
Chadema ni duka la mwenyekiti
OK, nenda sasa na wewe ukanunue, acha kupiga kelele za kijinga kama lucas
 
Chadema imekufilisi hoja zote sasa inaongea pumba
 
Wanyiramba kwa majungu wako vizuri sana. Hata Mkoa wao wameshindwa kabisa kuuendeleza. Ona hii listi Mwigelu, Huyu, Hepi, Kitalya nk.
 
Sasa na hii nayo ni hoja! Pathetic!
 
Wametukamata pabaya sana hawa Chukuwachakomapema!
Mawili, kujilipuwa au kuhama kwenda Burundi!
 
anasema ukweli. siri anazitoa msigwa hizo. mbowe kasababisha yote hayo.
Kwani Makalla hapo anapohutubia hapati posho....!? Wanaokwenda kwenye maandamano wana tofauti gani na hao wanaohudhuria mikutano ya CCM. Au hapo alitoa ubwabwa na Maharage baada ya hotuba.

Yeyote anayesupport huo ujinga na yeye ni mjinga.
 
Inasikitisha sana yani Hawa viongozi wanaongea km vile wananchi Ni mbumbu hawana akili.
Yani eti unawaambia watu kauli ya Namna hii ivi wanasoma wananchi Ni watoto WA chekechea
Viongizi waache kuona watu Ni misukule yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…