Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makalla ni zezeta tu apuuzwe yeye anakomaa kupiga kelele posho ya siku inaingia hadi imemnenepesha kama kifutu.Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
?NI KWELI.
MBOWE AKAE MSTARI WA MBELE WA MAANDAMANO AVUNJWE UGOKO NA WANAJESHI
CHADEMA HAWAWEZI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI . najua washapanga watu wafanye fujo za hapa na pale . Zaidi itakuwa ni kelele mtindo mmoja . KIONGOZI KANENA UKWELI , HAWABADILI KITU ZAIDI YA AKINA FULANI KUWAZIA POSHO .Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
Kwa mtu mwenye akili timamu unadhani anaweza kuongea jambo lipi zuri kuhusu serikali ya mafirauni ya ccm ?Huyu nae Kila kukicha ye Mbowe Mara chadema! Eneza chama chako.
Yeye huyo mashavu kunona Makalla kwani halipwi posho hapo? Jee yeye anawalipa hao wanaokuja kumsikiliza ? Aache undezi wake.Ingawa akili ya makala imeshachoka.
Ila chadema kulipana posho kwenye maandamano haijakaa vizuri.
Idiots wa CCM mpo evenly distributed, kila mtandao mpo kwa ajili ya kuchapisha ujinga wenu na kuanika vichwa vyenu vilivyokosa akili.CHADEMA HAWAWEZI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI . najua washapanga watu wafanye fujo za hapa na pale . Zaidi itakuwa ni kelele mtindo mmoja . KIONGOZI KANENA UKWELI , HAWABADILI KITU ZAIDI YA AKINA FULANI KUWAZIA POSHO .
Kwani Kenya uliona watoto wa mawaziri??lkn hawajanyooka kina ruto??Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
Usimind sana . HASIRA HASARA. wapinzani bado sana .Idiots wa CCM mpo evenly distributed, kila mtandao mpo kwa ajili ya kuchapisha ujinga wenu na kuanika vichwa vyenu vilivyokosa akili.
OK, nenda sasa na wewe ukanunue, acha kupiga kelele za kijinga kama lucasItakufanye wakati kila siku inaandika barua kwa Samia kuomba ruzuku za miaka ya nyuma, Kama wajanja warudishe ruzuku zote uone Kama watadumu🤣
Chadema ni duka la mwenyekiti
Kwani huwa wanatumia miguu yake? Achana na maandamano ya kuandaliwa na vyama ama Asasi mbalimbali. Iko siku kila mtu atajikuta tu, yuko barabarani. Tena wao ccm ndiyo watawapush kufikia hapo.
Anadanganywa na msigwa, halafu yeye anakuja kupayuka.Huyu nae Kila kukicha ye Mbowe Mara chadema! Eneza chama chako.
Chadema imekufilisi hoja zote sasa inaongea pumbaKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
Wanyiramba kwa majungu wako vizuri sana. Hata Mkoa wao wameshindwa kabisa kuuendeleza. Ona hii listi Mwigelu, Huyu, Hepi, Kitalya nk.Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
Sasa na hii nayo ni hoja! Pathetic!Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania
Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?
Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”
Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”
View attachment 3043374
Kwani Makalla hapo anapohutubia hapati posho....!? Wanaokwenda kwenye maandamano wana tofauti gani na hao wanaohudhuria mikutano ya CCM. Au hapo alitoa ubwabwa na Maharage baada ya hotuba.anasema ukweli. siri anazitoa msigwa hizo. mbowe kasababisha yote hayo.