Pre GE2025 Amos Makalla: Wakati mwingine kwenye maandamano msiende! Baada ya maandamano mnarudi nyumbani, imebadili nini? Wenyewe wanalipana posho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania

Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?

Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”

Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”

Kwani kwenye mikutano ya chama chetu huwa hatulipani posho? Na je huwa hatuna chawa? Huwa tunawalipa posho?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania

Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?

Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”

Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”

View attachment 3043374
anasema ukweli. siri anazitoa msigwa hizo. mbowe kasababisha yote hayo.
 
Chadema wajanja sana baada ya kuomba kwa Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan na kupewa kiasi Cha Bil. 2.73 za ruzuku za nyuma walizokuwa wamegomea.
Wakaanzisha maandamano ili wajilipe Kama posho.
Chadema ni wakususwa kila sehem
 
Kwani hilo tutusa lenu Makala linazunguka nchi nzima kufanya mikutano halipwi posho kwa kazi hiyo?
 
Kwani elimu ya uraia wanayoipata haiwasaidii?Kwani wakiambiwa uongo wa CCM na tabia zao mbaya za wizi wa mali za umma ni vibaya?Yeye aseme tu kwamba anaogopa wananchi wataondoa ujinga vichwani mwao na kuikataa CCM.
 
Chadema wajanja sana baada ya kuomba kwa Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan na kupewa kiasi Cha Bil. 2.73 za ruzuku za nyuma walizokuwa wamegomea.
Wakaanzisha maandamano ili wajilipe Kama posho.
Chadema ni wakususwa kila sehem
Si mlisema Chadema imekufa! Mbona kila siku machawa wa CCM mnahangaika na Chadema?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha jambo lolote Nchini hivyo maandamano hayo hanaya faida kwa wananchi wa Tanzania

Amesema “Kama Chama cha Siasa kinafanya harakati kuwa muandamane, hayo ni maendeleo? Baada ya mandamano si unarudi nyumbani? Imebadilisha nini maisha yako?

Lakini mnapoandamana wale mstari wa mbele wamelipana posho, wote! Mimi najua idadi ya posho walizolipana kuanzia mkoa wa Mwanza, mikoa yote wamelipana Posho. Halafu wewe unaenda kushinda hata maji huna.”

Ameongeza “Yaani wake ukiwaona wanaandamana, kwanza wametoka kunywa supu kwenye hoteli kubwa halafu wanapiga simu wanaawangalia na kuuliza vipi huko tayari? Halafu mmewahi kuwaona Watoto wao? Wanawacha nyumbani, wakija pale wao posho tayari ninyi mnaingia mkumbo. Wakati mwingine wakirudia tena msiende. Baadhi yao pale wana makaratasi ya madaktari wameambiwa wafanye mazoezi”

View attachment 3043374
Hivi kweli sisiemu kwa wanachama wote mliokua nao ndio mkaona kabisa huyu anafaa kuwa mwenezi? Ndio mana uchaguzi unapofika kwenye debe ngoma inakua ngumu sana mpaka mfanye maarifa
 
Wale wa Kenya wameweza kumrudi Ruto mpaka amesalimu amri. Muda unabadilika. Maandamano sio kitu kizuri. Ila maisha yakiwa magumu, watu wengi huwa wanaona hawana cha kupoteza.

Tusifike huko. Especially kwenye kuaddress suala la rushwa na wizi wa mali ya umma. Hili linaleta shida sababu linaua na kudumaza maendeleo. Tusifanye masihala linaweza kutengeneza tatizo mbele ya safari
 
Wakati wa utawala wa makaburu south afrika mlikuwa mnatuambia tuandamane ilibadili nini!
 
Kwa kifupi Makalla, hoja zake ni dhaifu sana. Yeye analipwa posho na CCM ila kazi kuiongelea CHADEMA. Na wao walikuja kwenye mkutano wake wakimaliza wanaenda wapi kama siyo nyumbani.

Na je ni kitu gani kimebadilika baada ya kumsikiliza yeye akibwabwaja kuhusu CHADEMA. Katibu wa itikadi,mwenezi na mafunzo mzima anaongelea kuhusu CHADEMA kunywa supu...! Yeye hao anao wahutubia amewanunulia chakula au yeye kala halafu wananchi wana njaa???
 
Kama maandamano hayajabadili kitu maana yake serikali sio sikivu, au imeishiwa mbinu za kutatua kero zilizosababisha maandamano. Wapinzani waliandamana kutokana na hali ngumu ya uchumi, sasa Mwenezi Makala anasema hakuna kilichobadilika. Serikali na Ccm wamepuuza kilio cha hali ngumu ya uchumi, bei za bidhaa kuwa juu.
 
Back
Top Bottom