TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

Hizi kweli ni ajali za kawaida? Unaweza kuwa wewe unaendesha kwa umakini lakini midereva mengine ni selfish yanaendesha hovyo hovyo bila kufuata sheria ama yana stress na yamelewa na kusababisha ajali kupoteza maisha na kujeruhi na kuleta huzuni kwenye jamii.

Pia miundo mbinu ya bara bara zetu siyo nzuri.

Pia vyombo vya usafiri magari.

Mwendo kasi pia inachangiaga sana kwenye ajali.

Yani ni kama wote sasa hivi tukitumia barabara tunaishi kwa kubahatisha.

Mungu awalaze zayuni.
 
R.I.P ndugu zangu
 
Poleni sana Wafiwa.

Hata hivyo Death is Death Only
 
Washaambiwa wasiwe wanasafiri kifamilia hamuelewi.
 
Eneo la Same,Huko Kilimanjaro,linahitaji maombi
Kuna upepo mkali sana pale, kati ya hedaru na Same stand japo unaweza usiuone......
Lakini pia, kwa ambao hawaendeshi safari ndefu, wajitahidi kuto kula kula njiani.
Ulaji unafanya mtu asinzie.....pengine ule kidogo ila unywe kahawa au chochote unachojua kina kupunguzia usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…