ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga unapoishi,kutaneni na kumalizana juu kwa juu.
8_ukitoka out na danga usilewe,utaliwa mtungo au kurukwa ukuta.
9_kuwa makini na danga linalokula ngada,litakulisha.
10_usitoke ndani bila zana za kazi na za kujilinda.
Na nyoka yule mkuu wa zamani atakutangulia uingiapo na utokapo.
Anima...siyo Amina lakini.