Amri 10 za kudanga

Amri 10 za kudanga

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga unapoishi,kutaneni na kumalizana juu kwa juu.
8_ukitoka out na danga usilewe,utaliwa mtungo au kurukwa ukuta.
9_kuwa makini na danga linalokula ngada,litakulisha.
10_usitoke ndani bila zana za kazi na za kujilinda.
Na nyoka yule mkuu wa zamani atakutangulia uingiapo na utokapo.
Anima...siyo Amina lakini.
 
Mkuu danga halikopwi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Linakopwa!si unajua tena malikauli[emoji16][emoji16][emoji16]
Ukikuta danga linakopwa basi ujue huyo mdangaji ni mpya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Je na sie wadangwaji tufanye nini ?
Aaammm...kuhusu wadangwaji nitapitia darsa kesho hizo ni ndefu kidogo!si unajua mwanaume ni kichwa..ila haraka haraka tu ukifumaniwa kataa halafu kataa tena..Kama hivi,'nachukuaje Mali mbovu hiyo?'
 
Back
Top Bottom