Usisapu=udsm ? Hakuna kitu kama icho
nadhani majigambo hayafai. Majigambo na madharau kwa vyuo vingne kelele tu, mpango mzima ni umenufaika vipi na chuo chako?
Udsm 9000 wamesup na 500 wamedisco kwa hiyo udsm hakuna kusup msijidanganye mkija kazeni msuli
Kama umethubutu kufanya hivi kwa kuthaminisha Amri kumi za Mungu na ngonjera za chuo chako au nyumbani kwenu. Basi kesho sintoshangaa ukibadilisha maandiko ya "Torati" kuyathaminisha na madesa yenu ya kuibia paper. Dunia ukingoni.
kama haitoshi, mtu anajiita "great thinker" humu jf kwa kusupport ushuzi wako. Hebu mleta mada jaribu kuwauliza walijitutumua kusema wameipenda, wameipendea nini??
ID yako inanikumbusha mnoko mmoja wa Chemistry akienda kwa jina la Joseph Buchwaishaija. Prof siku hizi. Du.