Amri 10 za kuwaongoza wanafunzi wa vyuo vikuu

Amri 10 za kuwaongoza wanafunzi wa vyuo vikuu

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
63
AMRI KUMI ZA CHUO.
1.Hicho ndicho chuo chako
usiwe na chuo kingine ila
hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo
chako mana utawaumiza
wengine.
3.Ikumbuke cku
uliyochaguliwa na
kuiheshimu.
4.Waheshimu tcu na
uongoz wa chuo ili upate
kuendelea kuwepo chuon.
5.Usisapu
6.Usidisko
7.Usitumie mkopo hovyo.
8.Usitaman chuo cha
mwenzio
9.Usitamani fakat ya
mwenzio
10. Usitaman bumu lake
wala chochote alichonacho.
 
nadhani majigambo hayafai. Majigambo na madharau kwa vyuo vingne kelele tu, mpango mzima ni umenufaika vipi na chuo chako?
 
Kama umethubutu kufanya hivi kwa kuthaminisha Amri kumi za Mungu na ngonjera za chuo chako au nyumbani kwenu. Basi kesho sintoshangaa ukibadilisha maandiko ya "Torati" kuyathaminisha na madesa yenu ya kuibia paper. Dunia ukingoni.

kama haitoshi, mtu anajiita "great thinker" humu jf kwa kusupport ushuzi wako. Hebu mleta mada jaribu kuwauliza walijitutumua kusema wameipenda, wameipendea nini??
 
nadhani majigambo hayafai. Majigambo na madharau kwa vyuo vingne kelele tu, mpango mzima ni umenufaika vipi na chuo chako?

ID yako inanikumbusha mnoko mmoja wa Chemistry akienda kwa jina la Joseph Buchwaishaija. Prof siku hizi. Du.
 
Udsm 9000 wamesup na 500 wamedisco kwa hiyo udsm hakuna kusup msijidanganye mkija kazeni msuli
 
Kama umethubutu kufanya hivi kwa kuthaminisha Amri kumi za Mungu na ngonjera za chuo chako au nyumbani kwenu. Basi kesho sintoshangaa ukibadilisha maandiko ya "Torati" kuyathaminisha na madesa yenu ya kuibia paper. Dunia ukingoni.

kama haitoshi, mtu anajiita "great thinker" humu jf kwa kusupport ushuzi wako. Hebu mleta mada jaribu kuwauliza walijitutumua kusema wameipenda, wameipendea nini??

top 10 hizi sio sheria, then wataalam wa literature wanafaham dhima ya mtindo ulotumika (style (stylistics)). So creative though i copied
 
Back
Top Bottom