Amri 10 za ndoa

Amri 10 za ndoa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Gdnyt

1732051579681.jpg
 
10 Commandments of Marriage:

Speak softly and listen carefully.
Cheer each other on like a team.
Stay committed through thick and thin.
Always have each other's back.
Keep date night sacred.
Teamwork makes the dream work.
Say sorry... and mean it.
Keep the spark alive.
Talk openly about money.
Grow together, rise together.
#MarriageGoals #LoveAndCommitment #HappyMarriage
 
Mkuu kichwa cha habari "Amri kumi za Ndoa" zimekuja kwa kingereza, tafsiri kidogo kwa wasioelewa au kama hivyo badilisha kichwa cha habari huko juu.
 
Ukiambiwa kitu na hawa watu watatu usikipuuze na mmoja wa nyongeza:

1. Mtoto mdogo akikwambia kitu hata km utachukulia utani jua anakwambia ukweli usipuuze

2. Mlevi hata km utakidharau anachokiongea usimpuuze kwenye maneno matano basi manne ni ukweli mtupu

3. Mtu mwenye hasira zilizopitiliza akikwambia kitu usipuuze anachokwambia wakati huo ndio ukweli halisi usipuuzie anachokwambia

4. Chizi / Kichaa ukiona kichaa amegeuka km mtu mwenye akili timamu usipuuze uenda ya kua anakuelekeza sehemu ambapo analalia mifuko ya Pesa ila yeye hazitumii maana haoni umuhimu wake usipuuzie anachokwambia

Watu hawa wakikwambia kitu kipuuze hata km wakionyesha sura ya kutokua na hatia:

1. Kikojozi katu kamwe usimwamini kikojozi yoyote hata awe mtoto vikojozi wana tabia za asili za uongo kwa hio kikojozi akikwambia jambo akiwa ametoka kujikojolea usimwamini utakacho ambiwa hapo sio kingine bali ni uongo
 
Back
Top Bottom