TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili



rest in peace king majuto one of the best in east africa
 
Kifo hauna huruma,

Tutakukumbuka Daima Milele.

Wote kifo kinatungoja,kifo hakiepukiki.

Nasi Twafaata.
 
Hili ni pigo kwa tasnia ya uchekeshaji hapa Nchini. Apumzike kwa amani, inasikitisha sana huyu mzee kafa masikini.
 
Kamaliza mda wake,watu wema uondoka mapema,heri waovu wangeondoka wabaki wema
 
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiuun
 
Ndio kwanza napata TAARIFA hivi punde baada ya kuingia JF.

JF inatusaidia sana.

Sikuwa na TAARIFA kabisa.

JEMBE Mzee MAJUTO hatunae tena.

Nakumbuka enzi zake na BI CHAU kwenye VIPINDI vya LUNINGA.

Jamani
 
kila nafsi itaonja umauti,Mbele yake nyuma yetu,Mwenyezi Mungu amjaalie kauli thabiit mzee wetu.
 
Nimeaikitishwa sana na taarifa hizi. Sikutegemea iwe mapema hivi.

Inal llah waina illah rajuun
 
RIP King Mjuto. Tanzania will never ever have another comedian of your sort and your gap will never get filled. May the Almighty God rest your soul in eternal peace. Amen.
 
Kila nafsi itaonja umauti Mbele yetu mzee wetu nyuma yako sisi,kilicho kikubwa kwa sasa tulio baki ni kumuombea Dua tu.Eeee mwenyezi Mungu mfanyie wepesi mzee wetu uko aliko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…