TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Jamani mzee majuto😢😢😢 nimekuwa mchangiajia mzuri kupitia Manunuzi ya Kazi zako. R.I.P
 
Dah,hapa ndio ninapopataga shida anapofariki mtu ninaemjua na kumpenda.....kapumzike baba...Mungu na akulaze mahala pema peponi..!
 
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu na gwiji LA sanaa za vichekesho
 
Ah, huyu jamaa
 
yule mtu mfupi anatamani asingestaafu kile cheo cha kushughulika na misiba maana anajua angepiga hela ya kutosha kwenye msiba huu.

#ripkingmajuto
#yungtempe
Mbona kaenda MNH! Kafurumushwa na ndugu wa Marehemu, kaingia na gear eti magaro yashalipiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…