social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,260
Ndo maana mnapigwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikuwa haudhuri misiba, si ndio ameanza! Apongezwe basi! Na sio kuweka walakini (wasiwasi)Una maanisha nini?
Haya ngoje nisogeze kiti nisubiri yajayo!Kuna jambo hapo si bure, wewe ngoja uone.
Ile niliyoandikaga kuhusu SAMU wa ukweliIpi hiyo mkuu
ni zaidi ya kick, itakuwa penaltyMambo kick
Tivu ake katoswa!Kuna jambo hapo si bure, wewe ngoja uone.
Sio kweli bana, mbona anahudhuriaga sana? Labda kama haongeagi tu ila misiba mingi tu nimemuona!!Wakuu bila shaka na nyinyi ni mashahidi tosha kwamba bwana yule au ukipenda muite Jiwe huwa haudhurii kabisa misiba yoyote ile yupo radhi akafungue hata tawi la benki au jambo lolote lile ambalo halina tija kwa wakati huo lakini si kuhudhuria misiba mpaka ikafika mahala watu wakaanza kumuhisi huenda ni mshirikina.
Lakini kwa maajabu kabisa bila kutarajia tumemuona jiwe akihudhuria msiba wa Amri Athumani Majuto kitu ambacho baadhi ya watu wameingiwa na mashaka kwamba huenda kuna kitu kimejificha maana si hali ya kawaida.
Tusubiri baada ya maziko kuna mambo makubwa yataibuka kama kipindi kile cha msiba wa Masaburi yalivyoibuliwa mambo yasiyojulikana hata na wana familia ila jiwe aliyaropoka jambo ambalo halikuwafurahisha wanafamilia.
Màgu ana sàa kaliConsoler in Chief.View attachment 831241
Sisi waislam safi tunasema
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'oon