TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Mchekeshaji Mkongwe wa Tanzania Mzee Majuto amefariki dunia leo Agosti 8 kwenye Hospitali ya Muhimbili, mtoto wake aitwae Abuu amethibitisha. R.I.P Mzee wetu
 
Pole sana kwa wanafamilia na watu wa karibu. All in all alikuwa na kipaji haswaaa!!
 
Kuna uthibitisho wowote kuhusu kifo cha huyu kipenzi wetu, maanake watu kwenye mitandao hawana utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…