TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Habari zilizothibitishwa Zinasema Mchekeshaji na Muigizaji maarufu Mzee Majuto amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Majuto amekua aligua kwa muda mrefu

More to follow including social media reaction.
 
King majuto hatuko nae tena ,,,,, poleni sana ndugu wa karibu.

R.I.P king
BCA6DAF6-9D62-46D9-B3E6-80B823D7981E-1178-00000248FB7A7F81.jpeg
 
Back
Top Bottom