TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

RIP mzee Majuto, mwendo umeumaliza
 
Mungu ampuzishee kwa Amani huyu mzee aisee...!! Hakunaa King Kama huyuuu kwenyr comedy ya tz... Legend
 
Sisi waislam safi tunasema

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'oon

Kuna msemo unao sema kufa kufaana....

Ya mungu mengi unaweza shtukia akaja akasema huo msiba umemgusa sana ivyo ameombwa na wasanii wenzake hausimamie
 
Ama kweli 'KIFO' ni kitendawili cha ajabu kbs kwa mwanadamu! Pumzika kwa amani King majuto.
 
Sina la kusema Mungu amlaze mahala salama, hakika msiba huu umeniuma sana sitaki kuamini ila naanza kuamini Mzee nitakisimulia kizazi changu chote kwa kipaji ulichokuwa nacho hapa dunia, utabaki kuwa mchekeshaji bora kwangu Mzee Majuto .
 
Back
Top Bottom