TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Mzee majuto amefariki muda huu
Screenshot_20180808-213315.jpg
 
Kama nakiona kifo kinaniambia "you are nex"
Siku nikifa sijui itakuwaje? Sijui nitaonana na kitu gani?
Hua najiuliza sana hivi na mimi
Au je kama roho inachukua masaa 10 hivi kuuacha mwili ? Huko mochwari itakuaje
 
Unastahili kuitwa gwiji wa sanaa Majuto, Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi.
 
Innalillah waina illah rajuun!Sisi wote ni wa Allah na hakika kwake ndio marejeo!Dunia tunapita na haina urafiki na mtu l! na hata tuishi miaka mingapi iko siku tutaingia kwenye tumbo la Ardhi...kwaheri Majuto sisi tuko nyuma yako
 
Dhaaaaaaaa rest in peace majuto

Ila mtoa mada aiseee hii speed yako
Hata ile SGR haion ndan
 
King majuto pumzika kwa amani ila umeondoka na uchekeshaji wako si dhani kama kuna mtu atafikia uchekeshaji wako dah dunia mapito.
 
hii cancer imemtesa sana,kina kikwete waliiwahi ,ndo hivyo tena ugonjwa hauchagui muda,apumzike mahala pema
 
Back
Top Bottom