TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Pumzika kwa Amani tutakukumbuka Daima pengo lako Halitozibika!!
 
Innailah wa innailah rajiun
Umemfuata aliyekuwa mtu wako wa karibu sana kikazi

Mr Sharomilionaire
 
#BreakingNews | Msanii mkongwe wa vichekesho Amri Athuman’ King Majuto’ amefariki dunia usiku huu baada ya kulazwa siku chache zilizopita katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.




Kupata Updates Kama Hizi Usisahau Kubonyeza SUBSCRIBE Button.
 
R.I.P king
IMG-20180808-WA0023.jpg
 
Allah alimtilia wepesi ameweza kuzitimiza zile nguzo zoote tano za dini ya kiislam, basi hiyo iwe sababu ya Allah kumtilia wepesi katika hesabu yake na amfanyie tahfif katika nyumba yake ya milele na kesho Akhera. Pumzika kwa amani mzee wetu
 
Back
Top Bottom