Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
RIP mzee Majuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hujasema alijiunga jeshi mwaka gani na kutaafu mwaka gani..TANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.
View attachment 830455Pia soma >
Rais Magufuli na Mama Janeth Magufuli waliopokwenda kumjulia hali King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018.
Mzee Majuto: Tanzanian Movie and Comedy Legend
Mzee Majuto atangaza rasmi kuacha kuigiza, sasa kumrudia Mungu wake
Mwakyembe Kuivaa kampuni iliyomdhurumu Mil 25 Mzee Majuto.
Haya ndio maisha halisi anayoishi mzee Majuto
--
Wasifu
Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King Majuto ni mtunzi, muigizaji,mwandishi wa mswada.
Na ndiye muigizaji wa kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company ( TFC) Kwa sasa King Majuto ni mwigizaji mwenye mashabiki wengi kutokana maonyesho mbalimbali, vichekesho vyake aliyoshiriki nchi mbalimbali.
Tunashauliwa kufanya check up mara kwa mara mara unapogundua tatizo inakuwa rahisi kutatua nadhani umenipataDaaa,Ila JK mbona Alienda Nje Akatibiwa Na Akapona?
Sababu hii Kila Mwanaume ana Tezi Dume ambayo kazi yake ni Kuzalidha Mbegu za Mwanaume,Sasa huwa likiwa kubwa ndo Tatizo,Na huwa linakatwa,Kaka hiyo ngoma ukichelewa kuitibu hata uwende wapi hutoboi
Mkuu Kuna Prostate Cancer, Na Prostate empty yaani Tezi kuwa kubwa,hii cancer imemtesa sana,kina kikwete waliiwahi ,ndo hivyo tena ugonjwa hauchagui muda,apumzike mahala pema
inna lillah wa inna illah rajihunTANZIA: Msanii wa vichekesho Mzee King Majuto amefariki dunia usiku wa leo Agosti 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.